Spidi zisizo na maana ni ushamba fulaniNdugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabarani mjiandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yapata 8 kwa ajali. Yawafaa nini?
View attachment 2041879
Kuna ujumbe tumepewa usiwe defensiveKwahiyo we umewaona wachaga pekee yao?
Rubbish
Naona tyre ishapigwa au ilichomoka?Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabarani mjiandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yapata 8 kwa ajali. Yawafaa nini?
View attachment 2041879
hahahahhahaKrismasi imeisha tukutane kwenye ADA sasa
It's all about horses.Hili mie naweza nikakubaliana nawewe kwa asilimia 100% ajali nyingi ni matokeo ya ku loose control ya magari na hii yote ni sababu ya kupenda overtake za ajabu ajabu tu[emoji41]!
Mtu anaona kuna gari inakuja upande wake anabet eti akate semi 3 halafu atoke kabla gari ya upande wake haijafika! Hio huwa ni ngumu sana kutoboa hasa ukiwa na mgari wa diesel au engine yenye horsepower ndogo on full throttle!
Ni muhimu sana pia kujua hali ya chombo chako, means uwe umekizoea kimatumizi na mwenendo wake. Mie kabla ya kusafiri hata na gari ngeni huwa lazima nizunguke zunguke nayo kwanza niangalie aerodynamics zake. Ukamataji wa brakes pia, Cornering ikoje, Sio unaazima gari tu unasafiria huelewi.
Diesel nyingi ni weak machines but torquey hilo la 300HP utakuta lazma lina twin turbosIt's all about horses.
Diesel au Petrol haihusiki sana.
Kuna diesel ina 300hp na petrol ina 150hp.
Unadhani nani atakuwa fast kwenye overtaking?
Yeah.Diesel nyingi ni weak machines but torquey hilo la 300HP utakuta lazma lina twin turbos
Hahahahah yenye 250HP bei zinakuwa zimesimama wengi tuna afford 2.5L nyingi za 200-220HPYeah.
Kwa gari ndogo na unapenda speed, chagua gari yenye 250hp kwenda mbele, haijalishi petrol au diesel.
Mkuu SUV gani tamu Kati ya Diesel au Petrol?Diesel nyingi ni weak machines but torquey hilo la 300HP utakuta lazma lina twin turbos
Petrol ni tamu sanaMkuu SUV gani tamu Kati ya Diesel au Petrol?
Kwamba wachaga wanahangaika na ada?Krismasi imeisha tukutane kwenye ADA sasa kwa speed Ile Ile ya kwenda Moshi
Ahaaaahaaahaaa[emoji16][emoji16]wachagga wana mtindo wa kutaka sifa wanapoenda moshi anajua njiani atampita masawe mbele atamkuta lyimo na wengine wengi sasa akiwapita kwa speedi anajua watamtaja tu haaa jamani mmemuona mushi alivyotupita huyu yupo vizuri basi akisifiwa hivyo kichwa hilo . wachaga kila sehemu hupenda sifa tweeter wamejaa wao tuu kila kona kumsema makufuli
Joshua mambo?Tena unadrive na K-VANT pemben
Hehehehe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]Eti ni kweli wachaga wanaongoza kwa kuazima/kukodisha magari ili waende nayo kilimanjaro kwa maonyesho?
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] we jamaa bana unaniachaga hoi!Krismasi imeisha tukutane kwenye ADA sasa kwa speed Ile Ile ya kwenda Moshi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Side mirror makini ikikugonga lazima ijikunje.
Ushamba mzigo