Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Nitajie tajiri mmoja wa kichaga aliepo Njombe, nimeishi njombe naijua nje ndani
Ndio maana nakuambia wafanyabiashara wakubwa mikoa ya kusini Njombe, Mbeya ni wakinga, wametawala kote hakuna mchaga, au kabila lengine wanaoweza kushindana naoKwa nini iwe tajiri wa huko njombe awe mchaga? Binafsi nimenunua mashamba kibao njombe na nina rafiki zangu kibao wana hekari za kutosha za miti
Mlaki, tena usikose kikao cha ukoo mwaka huu, Marangu mtoni pale.Umeshapona ugonjwa wako wa kuhara Mkuu
Miti ya mbao sio potential? Unajua ekari moja ya miti ukivuna unapata sh.ngapi? Hakuna biashara ina pesa kama miti ya mbaoNdio maana nakuambia wafanyabiashara wakubwa mikoa ya kusini Njombe, Mbeya ni wakinga, wametawala kote hakuna mchaga, au kabila lengine wanaoweza kushindana nao
Wakinga ndio wananunua magorofa kariakoo sasa hivi, ndio wafanyabiashara wakubwa Dar, kwa taarifa tu
Kwa nini iwe tajiri wa huko njombe awe mchaga? Binafsi nimenunua mashamba kibao njombe na nina rafiki zangu kibao wana hekari za kutosha za miti
Kwa nini huko kusini mbeya wachaga watajwe na sio wenyewe wa huko , wewe kwanini unaona wachaga walipaswa kutajirika huko kusini kwenu?Ndio maana nakuambia wafanyabiashara wakubwa mikoa ya kusini Njombe, Mbeya ni wakinga, wametawala kote hakuna mchaga, au kabila lengine wanaoweza kushindana nao
😁😁 hajajua kaongea utumbo , wa kuonyesha kuwakubali hao anawaona hakuna kituSi ndio hapo. Mshamba huyo.
Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.Wakubwa ukilinganisha na nani.
Wakinga hivi mnafika hata millioni moja. Nyie mshindane na Waha. Wachagga sisi kwa hatupo level ya Tanzania tena tunashindana kimataifa na Wakikuyu na Waigbo
Miti ya mbao sio potential? Unajua ekari moja ya miti ukivuna unapata sh.ngapi? Hakuna biashara ina pesa kama miti ya mbao
Short and clear. Njombeni kichuma tu hela na kutumia kaskazini.Si lazima aishi Njombe. Njombe kuna lp
kuna potential gani sehemu inaongoza kwa Ukimwi. Matajiri wa Kichagga wanafanya biashara na kurudi Dar.
Taja viwanda vitano vinavyomilikiwa na wakinga ambavyo ni tegemezi hapa TanzaniaWakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.
Nilitaka kukujulisha tu kuna sehemu wachaga hawapo, mfano boda yenye biashara kubwa kupita zote ni Tunduma,na wakinga wameitawala yote, hakuna wachaga kuleKwa nini huko kusini mbeya wachaga watajwe na sio wenyewe wa huko , wewe kwanini unaona wachaga walipaswa kutajirika huko kusini kwenu?
Nipo iringa na nina kiwanja , wewe kama mkinga una nini Kilimanjaro na arusha?Nilitaka kukujulisha tu kuna sehemu wachaga hawapo, mfano boda yenye biashara kubwa kupita zote ni Tunduma,na wakinga wameitawala yote, hakuna wachaga kule
1. Bonite Bottlers.Taja viwanda vitano vinavyomilikiwa na wakinga ambavyo ni tegemezi hapa Tanzania
Mambo ya viwanda waachie wahindi na waarabu, hapa tunazungumzia biahara ya kuuza na kununua, sio kuzalisha bidhaaTaja viwanda vitano vinavyomilikiwa na wakinga ambavyo ni tegemezi hapa Tanzania
Hata 50 vinafika1. Bonite Bottlers.
2. High life Spirit.
3. Mwanga Biochemical
4. Rocktronic
Unahesabu pale kariakoo tu, WAchaga wameingia biashara kubwa, kampuni kubwa. Binafsi binti yangu akiniletea kijana wa kichaga hata mahari siombi. Najua hatolala njaa.Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.
Kwa nini tuwaachie na wakati kuna wachaga kibao wanamiliki viwanda?Mambo ya viwanda waachie wahindi na waarabu, hapa tunazungumzia biahara ya kuuza na kununua, sio kuzalisha bidhaa
Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.