Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Kilimanjaro na Arusha kuna nini cha maana huko zaidi tu ya ule mlima na vimbuga vya wanyama viwili vitatu, basi

Utalii unaingiza mabilioni yakutosha na unaleta mnyororo wa thamani hata kwenye mazao ya chakula.

Bado madini ya Tanzanite madini pekee duniani.

Ni hii serikali ndio haina mipango thabiti, tungekuwa mbali sana.
 
Tafiti hiyo amefanya nani tukaisome. ?

Tungeona maendeleo kule Njombe. Kila siku mkuu wa mkoa Mtaka, analalamika juu ya makazi duni na mambo kama hayo. Imani za kishirikina ndio zimetawala
Njombe ndio mkoa unaoongoza kwa makazi bora, mpaka vijijini ndani ndani hakuna nyumba ya udongo.Nyumba ni za bati na matofali. Arusha nimekaa, Nyumba za udongo mpaka katikati ya mji, matejoo, sanawari , unga ltd zipo za kutosha ,Moshi ndio usiseme hapo mjini kwa vibaka Pasua, Njoro nyumba za udongo za kutosha
 
Njombe hii hii ya matofali ya kuchoma 🤔
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…