Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Usichokijua ni kwamba Kilimo Cha kahawa ndio kimewaweka wachaga kwenye ramani

Ni kupitia kahawa ndio mashule yalijengwa watu wakasomeshwa Biashara zikafunguliwa sasa sijui unaongelea kilimo gani
 
Wachaga walikua zamani aisee, saivi kizazi kielevu cha kichaga ndio kinaishiaishia hivo.
Naona kilichofanya umaarufu wa kabila la kichaga upae sana sana ni Reginald Mengi, labda na kijijini kwao asilimia kubwa kuna maji, umeme, shule na hospital, ukilinganisha na vijiji vingine vya Tanzania, vinginevyo wachaga ni kama makabila mengine tu wajanja wachache wajinga wengi.. Vishu Mtata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…