Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

Mbege kama haina msesewe lazima unenepe , kazi ya msesewe nikukata sukari ya kipumbavu ndani ya mbege , hayo mambege mnakunywa daslamu sio mbege ni uji wa ulezi , ipe heshima mbege acha utaniView attachment 3636168
Mbege sipendi, kiburu sipendi, kisusio sipendi, kitawa sipendi, machalari sipendi, mimi ni mchagga koko.
 
Kuwa na heshima na mbege

Ogapa kitu kinapokelewa na mizimu ya mababu wa kichaga wakati wa Mila😁..ujue kuna mtu akiwa anaumwa akipewa mbege alibamu Moja anapona at intact

Cc min -me
Halafu, tofauti na vinywaji vingine ,mbege akipewa mtu lazima aipokee kwa mikono miwili ili kuipa heshima yake.:BearDance:
 
Screenshot_2026-04-07_193846.jpg
 
Back
Top Bottom