Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

Huoni dada zao kiuno kimeungana na Tumbo

Tako limeungana na kiuno kwasababu ya Unene wa Mbege za hovyo
Wanawake wa kichagga wamenenepeana siyo kwa sababu ya kunywa mbege. Na wale wanaokunywa mbege ni wanawake wa makamo au wazee.

Wengi wamekuwa hivyo kwa sababu ya makulaji yao tu na unywaji wa bia kwa wingi.
 
Screenshot_2026-04-07_193846.jpg
 
Huyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus nimenenepa....

Naonekana sasa kama mgonjwa wa akili kwa sababu naamini unene ni ugonjwa wa akili. Kunenepa maana yake unakula kula hovyo bila mpangilio ndo maana unanenepa..


Wachaga why wachaga?

Anyways nashukuru kuhusu katoto ka 2008 na Mimi nime " KAONJAMO"
Hiyo ya kibamba
 
Back
Top Bottom