Moose Bull
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 516
- 1,259
Usipokwenda na nepi kwenye kilabu ya pingu basi kazi ni kwako 😅Inapatikana sana Moro hiyo.
Usipokwenda na nepi kwenye kilabu ya pingu basi kazi ni kwako 😅Inapatikana sana Moro hiyo.
Haujui vitu vizuri bwashee ila vijana wa sasa hata kichaga hamjui😂Jau, labda mtori.
Nikiwa home na tengeneza mwenyewe kabisa tena ya ndizi kimalindi na ulezi wa kutosha ili nikate kiu yote😂Ni kinyaji kitakatifu. Nimeimisi sana. Cjui kwanini Des. naiona kama imekawia sana.
Wakikuona au kubaini (Wakikustukia) ww ni mgeni, huwa wanakuonya kistaarabu ufungwe kamba na ukikaza fuvu wanakuacha ujitetee mwenyewe mambo yakienda mrama.Usipokwenda na nepi kwenye kilabu ya pingu basi kazi ni kwako 😅
Ikiwekwa msesewe na unga mbich inakuwa hatari mekuMbege kama haina msesewe lazima unenepe , kazi ya msesewe nikukata sukari ya kipumbavu ndani ya mbege , hayo mambege mnakunywa daslamu sio mbege ni uji wa ulezi , ipe heshima mbege acha utaniView attachment 3636168
Aisee homeboy, naomba unikumbuke kwenye ufalme wako esp. desemba.Nikiwa home na tengeneza mwenyewe kabisa tena ya ndizi kimalindi na ulezi wa kutosha ili nikate kiu yote😂
Ndo hivyo makabila hayasaidii kitu kwenye dunia ya leo. Inabaki historia.Haujui vitu vizuri bwashee ila vijana wa sasa hata kichaga hamjui😂
Meku, unajua msesewe ni dawa ? Ile kitu inakata cholesterol kwenye mwili hatari, mbege bila msesewe na unga wa kuwekwa naona kama napunjwa bwasheeIkiwekwa msesewe na unga mbich inakuwa hatari meku
Eee kweli aisee. Rauwolfia caffra ni carcinogenic.Ikiwekwa msesewe na unga mbich inakuwa hatari meku
Mjomba wangu alikwenda na pensi, watu wakamuonya hakusikia. Baada ya dakika kadhaa mambo yakamwendea mrama ikawa vituko uswahilini.Wakikuona au kubaini (Wakikustukia) ww ni mgeni, huwa wanakuonya kistaarabu ufungwe kamba na ukikaza fuvu wanakuacha ujitetee mwenyewe mambo yakienda mrama.
Usha kua kyasaka meku, inabidi mzee wako achinje mbuzi kwa wazee ya msamaha na kuomba jina tenaNdo hivyo makabila hayasaidii kitu kwenye dunia ya leo. Inabaki historia.
Kwanza inasaidia nchi kupata mshikamano wa kweli.
Mzee mwenyewe sikuwahi kumsikia akiongea kichagga🤣Usha kua kyasaka meku, inabidi mzee wako achinje mbuzi kwa wazee ya msamaha na kuomba jina tena
Mbege ni lishe+shine+kilevi
Naam. Mdharau mwiba mguu huota tende au majuto ni mjukuu huja kinyume.Mjomba wangu alikwenda na pensi, watu wakamuonya hakusikia. Baada ya dakika kadhaa mambo yakamwendea mrama ikawa vituko uswahilini.
Mbona alihama Kijiji!!
Ndio maana vijana hampati baraka za wazee , inabidi utafute beberu kubwa tuje kukufanyia kitu BwasheeMzee mwenyewe sikuwahi kumsikia akiongea kichagga🤣
Karibu sana meku, ukitaka ya morang'i utapata ukitaka ya urombo ipo na ya kyoso ndio usiseme😂Aisee homeboy, naomba unikumbuke kwenye ufalme wako esp. desemba.
Hayo ndo madhara ya kukulia mjini. Inakubidi uwe unaenda-enda walau mara chache na kuokota maneno mawili matatu huenda yatakusaidia japo kuomba maji.Mzee mwenyewe sikuwahi kumsikia akiongea kichagga🤣