mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Mbege sipendi, kiburu sipendi, kisusio sipendi, kitawa sipendi, machalari sipendi, mimi ni mchagga koko.Mbege kama haina msesewe lazima unenepe , kazi ya msesewe nikukata sukari ya kipumbavu ndani ya mbege , hayo mambege mnakunywa daslamu sio mbege ni uji wa ulezi , ipe heshima mbege acha utaniView attachment 3636168
Nliagiza(ga) Ulanzi huko Njombe/Iringa aisee ile harufu kuna namna inakata kinoma.Halafu ulanzi unakondesha
Kena na ngararimo je?๐Mbege sipendi, kiburu sipendi, kisusio sipendi, kitawa sipendi, machalari sipendi, mimi ni mchagga koko.
Ongeza na hii
View: https://vm.tiktok.com/ZSX73oBho/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Kuna ambayo haina alcohol ile ya mapema mapema ni tamu zaidi ya soda, ikishalala na kuwekwa magome ya miti ( msesewe au mukuto ndio inapandisha kileviIna alcohol %?
Nzuri sana mbege , ukinywa ulevi wake unapanda kisomi sanaYaani hiyo kuna ndugu zangu huwa wanaipenda kwa ajili ya hiyo wakiona wamepungua ๐
Wayi! Hufai hata kuitwa mchagga koko. Wewe unaitwa kyasaka Ogii.Mbege sipendi, kiburu sipendi, kisusio sipendi, kitawa sipendi, machalari sipendi, mimi ni mchagga koko.
Ni kinyaji kitakatifu. Nimeimisi sana. Cjui kwanini Des. naiona kama imekawia sana.Nzuri sana mbege , ukinywa ulevi wake unapanda kisomi sana
Nkhande mumo na Mpombe mumo, ni rufeleMbege ni lishe+shine+kilevi๐คฃ
Tatu bila
Halafu, tofauti na vinywaji vingine ,mbege akipewa mtu lazima aipokee kwa mikono miwili ili kuipa heshima yake.Kuwa na heshima na mbege
Ogapa kitu kinapokelewa na mizimu ya mababu wa kichaga wakati wa Mila๐..ujue kuna mtu akiwa anaumwa akipewa mbege alibamu Moja anapona at intact
Cc min -me
Kama umetupia kichuri , basi shushia na mbege utakuja kushukuru baadaye.Nkhande mumo na Mpombe mumo, ni rufele
Pingu, the one and only ๐Kuna ile pombe sijui inaitwaje ila kabla hujanywa unafunga kamba chini ya suruali ili ukiharisha iwe siri yako
Jau, labda mtori.Kena na ngararimo je?๐
Dah! Jamani chonde-chonde msitutamanishe kiasi hiko. Kumbukeni huku Umasaini ndani ndani hiyo kitu-pendwa aloshika huyo dogo hapo huku haipo kabisa. Msitutie majaribuni.
Inapatikana sana Moro hiyo.Pingu, the one and only ๐