Moose Bull
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 516
- 1,259
Sasa hivi ukiongelea habari ya pingu karibu yake anaweza kukupiga akifikiri unamnanga.Naam. Mdharau mwiba mguu huota tende au majuto ni mjukuu huja kinyume.
Nadhani alijifunza kitu japokuwa kwa gharama kubwa.
Yep! Nashukuru mno, siku isiyo na jina nitatinga hapo. Naomba ramani.Karibu sana meku, ukitaka ya morang'i utapata ukitaka ya urombo ipo na ya kyoso ndio usiseme😂
Chibuku, halitumiki uchagani, tunaita kipata, bohora, au kitochi.Ila hiyo mbege ya kichaga tamu mno kuna wakati nilikuwa marangu nikaagiza nilisikia wakisema chibuku ki moja jero nilijipigia we ngoma tamu balaa
Umeonae. Yani hilo ni kovu akilini mwake na kulifuta itachukua muda mrefu sana.Sasa hivi ukiongelea habari ya pingu karibu yake anaweza kukupiga akifikiri unamnanga.
Kama ulanzi unakondesha vipi kuhusu pombe ya mnazi a.k.a tembo.Halafu ulanzi unakondesha
Sema ndizi na nyama nyingiiii , ndizi nyama peke yake haitoshi bwashee 😂Mwakan lazima nikatembee uchagan nimemiss mtori wa ndizi nyama na mbege
Kitochi ni lita 1 kile cha lita mbili kinaitwa Album.Chibuku, halitumiki uchagani, tunaita kipata, bohora, au kitochi.
Nipende kumalizia kwa kusema, tuziheshimu hizi pombe za asili, tusizivamie tu Kwa pupa kwa maana kila aina ya pombe hizi ina sheria na kanuni zake.Umeonae. Yani hilo ni kovu akilini mwake na kulifuta itachukua muda mrefu sana.
Wanawake wa kichagga wamenenepeana siyo kwa sababu ya kunywa mbege. Na wale wanaokunywa mbege ni wanawake wa makamo au wazee.Huoni dada zao kiuno kimeungana na Tumbo
Tako limeungana na kiuno kwasababu ya Unene wa Mbege za hovyo
Naaaaaam ,haika mmbee 😂😂Kitochi ni lita 1 kile cha lita mbili kinaitwa Album.
Naam.Nipende kumalizia kwa kusema, tuziheshimu hizi pombe za asili, tusizivamie tu Kwa pupa kwa maana kila aina ya pombe hizi ina sheria na kanuni zake.
Ova!!
Haujui kitu , kaa tulia ujifunze.Huoni dada zao kiuno kimeungana na Tumbo
Tako limeungana na kiuno kwasababu ya Unene wa Mbege za hovyo
Kye riaho meeku o'mfongo.Naaaaaam ,haika mmbee 😂😂
Chaaa nginenge kipata choo mleu😂Kye riaho meeku o'mfongo.
Kumbe ni dawaMeku, unajua msesewe ni dawa ? Ile kitu inakata cholesterol kwenye mwili hatari, mbege bila msesewe na unga wa kuwekwa naona kama napunjwa bwashee
Hiyo ya kibambaHuyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus nimenenepa....
Naonekana sasa kama mgonjwa wa akili kwa sababu naamini unene ni ugonjwa wa akili. Kunenepa maana yake unakula kula hovyo bila mpangilio ndo maana unanenepa..
Wachaga why wachaga?
Anyways nashukuru kuhusu katoto ka 2008 na Mimi nime " KAONJAMO"