Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Mkuu siri yao ni kuwa na bidii katika kazi na kuroga pia. Achana na mchagga muuza duka au genge kwenye hii tasnia ya ulozi, wanatisha mno, usiwaone wanajifanya wanapenda dini kusali kila Jumapili, hawana lolote.Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu πππ
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
SIO RAHISI KWA SHETANI KUKIRI MAKOSA YAKEHekaya za abunuasi
Chukua maneno alosema Mwigulu mchemba alipokua moshi kanisani kkkt.Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
pesa ni siri na wenye siri wana pesa. Mungu mwenyewe ana siri za uumbaji... Lucifer alivyotaka kujua kilichojiri unakijua. Siri za nchi zinalindwa kwa garama yoyote. Siri...siri...siriHellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu πππ
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
pesa ni siri na wenye siri wana pesa. Mungu mwenyewe ana siri za uumbaji... Lucifer alivyotaka kujua kilichojiri unakijua. Siri za nchi zinalindwa kwa garama yoyote. Siri...siri...siriHellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu πππ
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Haaahaaa,Hellow africa

Wamatumbi ni watu wa wapi hao? Singida au?Kwa kweli sisi wamatumbi nasisi tunataka sana kuwa kama wachagga
LindiWamatumbi ni watu wa wapi hao? Singida au?
Ooh Lindi si ndo kuna Wamwera?kumbe mpaka wamatumbi? Thanks on behalf bossLindi
Yes mkuu upo sahihiOoh Lindi si ndo kuna Wamwera?kumbe mpaka wamatumbi? Thanks on behalf boss
Unasumbuliwa na umaskini overMara uulize mtu kasafiri kaenda wapi? Endelea kuvaa mitumba maana mkiambiwa eti mnachukiwa bakini kwenu.
Unajitetea sana mno kwa lip sasa ? Tunaishi maisha tunavaa vizuri ,kula vizuri ,roho safi tunapendana ..
Majitu mavivu bhana utayajua tuHaya majitu yanaloga kwa ajil ya hela yan hela mbele sana kunae ndugu yangu kaolewa huko aloo anachokipata szan kama anahamu nacho
Vimaskin Huwa vina Hoja za kijinga Kweli KweliMkuu siri yao ni kuwa na bidii katika kazi na kuroga pia. Achana na mchagga muuza duka au genge kwenye hii tasnia ya ulozi, wanatisha mno, usiwaone wanajifanya wanapenda dini kusali kila Jumapili, hawana lolote.
Endelea kufuga fisi Huko kwenu geita huna lolote kichwanSIO RAHISI KWA SHETANI KUKIRI MAKOSA YAKE
Naam chagas culture nzuri sanaNgoja nikumegee kidogo....mchaga wa kibosho.
Ardhi moshi ni garama sana na haina cha maana inachozalisha, baada ya anguko la kilimo cha zao la kahawa ambalo wazee walitegemea km chanzo cha fedha ya kujikimu. Zao la ndizi likageuka ndio dili na kilimo cha mbogamboga, ili ulime unahitaji ardhi.
Elimu ilikuwa kipaumbele kwa watoto kwa sababu ardhi ni finyu na hakuna urithi "soma mwanangu hapa hakuna urithi, hichi kiamba (shamba) ni cha mimi na mama yako". Hiyo ni kauli kutoka kwa wazee tumekua tukiisikia kila siku ukizingua shule au ukileta ujuaji home.
Mila za kichaga ni noma kuliko hata ushirikina, kwa sababu zinahusisha kuchinja myama kwa style ya aina yake na manuizi ya kutumia maziwa. Tunaamini katika kuendelea kuwapa chakula wazee waliotangualia ili watuombee baraka. Desemba lazima tukumbuke ndugu walio hai na wafu kwa kuwapa chakula. Wewe ulishawahi kwenda kwenu kutoa shukrani, ukakunjua nafsi za nduguzo kwa chakula na kinywaji kizuri wakaachilia neno la baraka?!
Wivu wa maendeleo, disemba wakati unachinja na kunywa angalau mafundi wawe wanapandisha room nne ili wazazi wapate pazuri pa kulala na pia nikifa nitarudishwa hapo. "Wewe mushi huko dar unafanya nini hata kitenge umeshindwa kuninunulia, unaona mtoto wa mzee masawe nyumba anayojenga" Hiyo ni kauli ya mzazi akikupandisha hasira ya kutafuta hela, ukirudi mjini unapambana ili mzazi asiende kukusimanga tena.
Jua kilinge chako cha kutolea sadaka, kama hauko kwa Mungu tafuta mahali pa kutolea sadaka. Mafanikio hutekwa kwenye ulimwengu wa rohoni kwanza ndipo unayaona kwenye ulimwengu wa nyama.
Mimi naishi Kilimanjaro.kama una rafiki mchaga...muombe,mlilie December akiwa anaenda kwao na ww uende hata kwa gharama zako uone wanapokutana,majadiliano,mazungumzo,Target ktk biashara ndani ya mwaka mzima,ukifanikiwa kusikiliza tu amini nakwambia ukirudi utakua mpya kama upo sirias na maisha kuna kitu utakua umeongeza