Wachaga tupe siri na sisi wengine

Chagga au Uchagga au Uchaggani ni heritage au urithi wa maana sana mkuu. Ni watu wa namna ya pekee katika kila nyanja. Sio ajabu mtu kujiita mchaga wakati sio.

[emoji23][emoji23][emoji23] mimi najikubali kuwa mnyiha wa huko mbozI shida ipo kwa Gily huyuchaga wa rombo amefirisika mjin hapa anzulula tu
 

Kumbee ndio maana wahasibu wengi wachaga
 
Chagga au Uchagga au Uchaggani ni heritage au urithi wa maana sana mkuu. Ni watu wa namna ya pekee katika kila nyanja. Sio ajabu mtu kujiita mchaga wakati sio.
Siyo kweli. Mimi na kukaa kote hapa mjini sijawahi ona mtu asiye mchaga akajiita mchaga
 
Ngoja tusubiri Noel Mushi atoke Muhimbili kupimwa marinda kisha atuambie siri ya utajiri wa wachaga.
Daah kumbe yule umbwaa ni mchaga, aisee ningepewa fursa ya kumtandika viboko hadharani ningechapa hadi vile vikaptula vyake vipasuke vyote mxeeew kijana mjinga sana yule anaaibisha wanaume
 
Katika vitu sitamani hicho ni kimoja wapo. Why nitamani sasa? Kwa kipi? Nakosa nini kwa mfano? Hela ninayo[emoji3]ungesema kidogo kuwa Mkwere labda ila siyo Mchagga.
Hhaha dooh hii ndio ile wanayoita povu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…