Wachaga tupe siri na sisi wengine

Sasa matajiri ni wahindi mbona kweny vitabu mnalialia kwamba wanapendelewa ulishawahi kuona wahindi choka mbaya hapa bongo ?

Ulishawahu kuona mgogoro wa mali baada ya tajiri wa kihindi kufa?

Wahindi ndo namba moja waliobaki ni wachuuzi .!

Wahindi na sisi wa pwani sio washamba na pesa hatuna ushamba nazo hata tukiwa nazo tunaishi normal Mfano wahindi wanawatumia baadhi ya wabongo kweny kampuni na kupiga dili then wapo wanashika pesa ndefu na wanaishi kawaida wapo mbali na mitandao ila nyie πŸ˜‚πŸ˜‚ushamba mzigo kuvaa tu matatizo
 
Jibu swali acha mbambamba, Wewe umewahi safiri abroad hΓ’ta Hapo Kenya tu? Tulia Dogo endelea kulima machungwa hapo handeni
Eti kusafiri πŸ˜‚πŸ˜‚kufanya kazi gani ndo maana nikawambia nyie washamba nimekaa kenya hata kiswahili changu kimechanganyika na ukenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mimi mtu wa dili hta kinisafiri sipost sina ushamba huo kama nyie bado sana tunawaona washamba kabisa hata uvaaji ni manguo ya mitumba.

sasa unavaa mitumba unaenda ughaibuni ukikutana na mweny nguo utafanyaje?πŸ˜‚πŸ˜‚

Bado mshamba na kuna yule mshamba wenu kule ughaibuni eti comediani anatia aibu tu kucheza kama kichaa mbele ya wazungu...
 
Siri ni wizi na roho mbaya basi
 
Habari kama HII wale wenye chuki wakiisikia wanapasuka moyo
 
Maskini hΓ’ta hueleweki unachoongea,mara nguo kwahyo wachaga Huwa hawana nguo hebu ficha upumbavu basi
 
Maskini hΓ’ta hueleweki unachoongea,mara nguo kwahyo wachaga Huwa hawana nguo hebu ficha upumbavu basi
Mara uulize mtu kasafiri kaenda wapi? Endelea kuvaa mitumba maana mkiambiwa eti mnachukiwa bakini kwenu.

Unajitetea sana mno kwa lip sasa ? Tunaishi maisha tunavaa vizuri ,kula vizuri ,roho safi tunapendana ..
 
Hakuna atakayekwambia umeshasema ni "siri".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…