AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hii ndio imekua trend siku hizi yaan dah mpaka wengine nawashangaa sana yaan inakuaje mwingine anapigia hesabu kabisa pesa alizomuhudumia mgonjwa akiwa anapata matibabu anataka zirudi kwa kupitia hivyo vikundi iwapo mgonjwa akifariki basi yeye baada ya kuhuzunika iwe ni sehemu ya furaha yake baada ya kuvuna pesa kutoka kwenye hivyo vikundi yaani ni km amefanya mtaji fulani au wanabet na uhai wa watu, hivi anajua kabisa ikotokea mgonjwa akifa tu nimeula nina kitita cha kutosha, hua najiuliza hawa watu wana akili gani kwanini wanakua na akili za hivi?magroup ya michango ya kuzikana
Kupeleka mtoto English Medium kuna tatizo gani? Wewe ni mtu fukara. Acha visingizio.Nchii hii mambo mengi ni ubatili mtu watu wanashindwa kufanya maamuzi sahihi hasa yanayohusu pesa kisa anawaza jamii itamuonaje😄😄😄
Jamii itakuona hivyohivyo acheni ujinga wa kuishi maisha ya maigizo!!!
Hivi vikundi vya wajinga vinipitie mbani;
1.Michango ya Harusi.
2.Michango ya kusafirisha misiba.
3.Kupeleka mtoto ENGLISH MEDIUM.Huu ni ukosefu wa maarifa.
4.Jumuiya za hovyohovyo.
Ndio hivyo watu wanabet mtu afe wapige hela kwani wewe haujui nini mkuu? Yaan dhumuni na lengo la hivyo vikundi ni watu kupiga hela hapa katikati nilipiga hesabu za hela fulani nilipewa nihesabu kwa Excel mtu amechukua kwenye hivyo vikundi baada ya kufiwa sio pesa ndogo ni ndefuView attachment 3611032
Hii jumbe ilinishangaza sana, hio michango ukitoa sana na hupati tatizo baadhi huanza kutamani matatizo yawafuate.
Akili za maskini ni shida sana😄😄😄 hapo watu wanahesabia mgonjwa avute chapuchapu aanze kukusanya hizo millioni millioni!!!Hii ndio imekua trend siku hizi yaan dah mpaka wengine nawashangaa sana yaan inakuaje mwingine anapigia hesabu kabisa pesa alizomuhudumia mgonjwa akiwa anapata matibabu anataka zirudi kwa kupitia hivyo vikundi iwapo mgonjwa akifariki basi yeye baada ya kuhuzunika iwe ni sehemu ya furaha yake baada ya kuvuna pesa kutoka kwenye hivyo vikundi yaani ni km amefanya mtaji fulani au wanabet na uhai wa watu, hivi anajua kabisa ikotokea mgonjwa akifa tu nimeula nina kitita cha kutosha, hua najiuliza hawa watu wana akili gani kwanini wanakua na akili za hivi?
Amemaanisha kwa pesa ya kuchanga pamoja sio pesa yako mwenyewe. Haujui wapo watu wanafanya hivyo?Kupeleka mtoto English Medium kuna tatizo gani? Wewe ni mtu fukara. Acha visingizio.
Shida ipo kubwa ukifika miaka 50 utajua kwa vitendo kwamba kupeleka mtoto English medium ni matumizi mabaya ya pesa na uwekezaji mbaya ambao hautakuja kuzaa matunda.Kupeleka mtoto English Medium kuna tatizo gani? Wewe ni mtu fukara. Acha visingizio.
Hizi zenu ndio akili za kuwaza mali badala ya kuwaza uhai na thamani yake. Kama umewahi kuuguza huwezi kubeza michango kutoka kwa ndugu na marafiki, labda wewe ni toto la mwisho lisilojali welfare ya ndugu/wazazi.Akili za maskini ni shida sana😄😄😄 hapo watu wanahesabia mgonjww avute chapuchapu aanze kukusanya hizo millioni millioni!!!
Kuna mwingine mwaka jana alipoambiwaa kuna kikundi cha hivyo akajiunga haraka sana yaan bila kuuliza sasa hivi yupo kwenye vikundi vitano km sio vinne vya aina hio, vipo ambavyo kila siku anapeleka hela na vingine kila mwisho wa mwezi anapeleka hela bila kuchokaAkili za maskini ni shida sana😄😄😄 hapo watu wanahesabia mgonjww avute chapuchapu aanze kukusanya hizo millioni millioni!!!
Umesema kweli,Kwa wasioelewa Wala hawawezi elewa,,,kuuguza ni ishu ngumu hatari,Hizi zenu ndio akili za kuwaza mali badala ya kuwaza uhai na thamani yake. Kama umewahi kuuguza huwezi kubeza michango kutoka kwa ndugu na marafiki, labda wewe ni toto la mwisho lisilojali welfare ya ndugu/wazazi.
Kuumwa siku hizi ni gharama sana, hata serikali haitoi tena huduma kwenye ugonjwa, ni malipo. Kuhudumia mgonjwa ni gharama sana, kama umewahi kufanya hivyo continuously hata mwezi tu utashuhudia.
Sasa imagine unahudumia mama yako yupo Muhimbili kwa zaidi ya mwezi, familia yako haijigusi kwa chochote so upo wewe na mkeo kila siku nenda rudi, unaishi Chanika, nauli tu sio mchezo. Huna hata mtu wa kukupa pole ya kuuguza, rudi tena useme sijui hela wanapiga mtu akifa.
Nimeishi hayo maisha, nimeuguza wazazi wangu wote, ninajua nilichopitia, kama sio mshikamano wa familia na vikundi kadhaa, lazima yakushinde na unaonekana umeshindwa kuhudumia mpendwa wako.
Hapo nimesemea kuuguza tu, habari ya msiba wala sijagusia. Nyie watoto msiojua majukumu it's hard for you to understand.
Hiyo hela unayoichanga kwenye magroup kwanini usiweke bidii hiyohiyo ya kuchanga kwenye magroup ukajiwekea DISCIPLINE YA PESA.Siku akifa mkeo/mumeo au mtoto.
Huna hela ya kuutoa mwili Hospitalini, amefia mbali huna nauli ya kwenda kuuchukua mwili au kwenda kumzika.
Huna pesa za wachimba kaburi.
Hapo ndio utajua umuhimu wa hivyo vikundi.
Wazo lako la kusaidiana kiuchumi lilikuwa zuri pasipo kuponda wazo la michahgo ya misiba.
Au hujawahi kufiwa katika mazingira tata au hali ngumu?
Achana ni Kifo mzee.
Kama ingekuwa zamani ndugu wote mpo kijiji kimoja hapo sawa.
Lakini dunia ya leo.
Unasafiri kutoka Arusha unaelekea Dar. Unafika Segera unapata ajali unafariki.
Unafikiri mwili wako utasafirishwaje mpaka hospitalini bika gharama ya pesa? Utahifadhiwa bure hospitalini?
Unafikiri wapendwa wako watakubali uzikwe bila wao kuja kukuaga(kuaga mwili wako)
Hapo utakuwa umekufa kama kama waliopotezwa na wasiojulikana
Aisee,nimekumbuka anko wangu,,alisafiri kutoka dar to geita kwenye mishe zake,akapata ajari akiwa kazini,,alianguka na kuvunjika viungo vyote na kupoteza kumbukumbu,,,amekaa hospital kuanzia tarehe 1 mwezi wa nne Hadi tarehe 23 mwezi wa nne akafariki, aisee Hadi tunazika huu msiba ni pesa za ma group,
Hua zinamwagika tu yaan ni mvua ya hela kudadekAisee,nimekumbuka anko wangu,,alisafiri kutoka dar to geita kwenye mishe zake,akapata ajari akiwa kazini,,alianguka na kuvunjika viungo vyote na kupoteza kumbukumbu,,,amekaa hospital kuanzia tarehe 1 mwezi wa nne Hadi tarehe 23 mwezi wa nne akafariki, aisee Hadi tunazika huu msiba ni pesa za ma group,
Hiyo hela unayoichanga kwenye magroup kwanini usiweke bidii hiyohiyo ya kuchanga kwenye magroup ukajiwekea DISCIPLINE YA PESA.
KWANI MKIZIKA HUHO HUKO ALIPOFIA KUNA SHIDA GANI.KWANINI MNAINGIZA GHARAMA ZA BURE KUSAFIRISHA MZOGA😄😄😄
BINADAMU WA KILEO MNAMABO YA AJABU SANA
We acha tu,Kuna ugonjwa unauguza na pesa zinaisha,unaanza kuuza vitu,mgonjwa Wala Hana matarajio,mgonjwa anakufa upo mtupu,hata pa kuanzia hauna.Kuna watu hawafikiri sawasawa.
Mtoa post atakubali Mama au Baba au mkewe/mumewe au mtoto azikwe na City wakati yeye yupo anatazama?
Labda mtoa post anauwezo kiuchumi
Lakini kama ndio hawa wa below 2M kwa mwezi hana ubavu
Mimi nimehesabu hizo hela kwa excel hapa katikati mnachangiana hela nyingi sana Wazee yaan mtu akifa wewe kuvuna M50 au M70 sio kitu cha ajabu hio ni ya msiba tu bado ya poleKuna watu hawafikiri sawasawa.
Mtoa post atakubali Mama au Baba au mkewe/mumewe au mtoto azikwe na City wakati yeye yupo anatazama?
Labda mtoa post anauwezo kiuchumi
Lakini kama ndio hawa wa below 2M kwa mwezi hana ubavu
Acha kabisa,tulipo ni mbali,maiti ipo mbali,maiti inabidi izikwe,na mmoja inabidi aende kufuata maiti, home ndugu,jamaa na marafiki wamekusanyika siku nne,dadeq.Hua zinamwagika tu yaan ni mvua ya hela kudadek
Mimi nimehesabu hizo hela kwa excel hapa katikati mnachangiana hela nyingi sana Wazee yaan mtu akifa wewe kuvuna M50 au M70 sio kitu cha ajabu hio ni ya msiba tu bado ya pole