Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!


Endeleeni na ujinga wa magroup maskini nyie!!!
 
Kwenye kusanyiko lolote wakiwepo wachaga wawili lazima kianzishwe kikoba cha kuzikana.

Hawa watu hawajawahi kuwaza kingine beyond hela
Mnawakosea sana akina shayo. Akina shayo si ni moja kati ya makabila yanayoongoza kwa biashara kwenye hii nchi! Kwenye hili tusiweke kabila, tuweke general, pia mbona ni swala la maamuzi binafsi, sio la lazima kwa mtu yeyote?
 
Acha kabisa,tulipo ni mbali,maiti ipo mbali,maiti inabidi izikwe,na mmoja inabidi aende kufuata maiti, home ndugu,jamaa na marafiki wamekusanyika siku nne,dadeq.
Mkimzika huko alikofia anakuwa anagoma kuingia kaburini au???

Acheni lame and cheap excuse.Mnaexagerate mambo madogo kwa kutaka ufahari kwa maitiπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„huo mzogo haujui chochote by then.Hisia zenu zinawapoteza.
 
Maoni yangu ni;
1. Swala hili ni la hiari sio lazima kwa mtu yeyote.
2. Wanaojiunga, wanachanga pesa, tafsiri yake wanao uwezo wa kuipata hio pesa, tafsi yake wana kazi zinazowapa vipato
3. Watu hawaanzishi vikundi hivi kwa lukurupuka, wanakutana watu wanaofanana mawazo mara nyingi ni sehemu zao za kutaftia rizki, maana yake wanafanya kazi.
4. Hivyo vikundi huanza kama vikundi vya kusaidiana, ila kwa wenye maono huenda mbali na kuwa vikundi vya kuinuana kiuchumi, watu wanakopa millions of money wanafanya marndeleo.

Ujinga wake ni pale wanapopatikana viongozi njaanjaa, pesa inapigwa. Hilo nimeliona hadi sasa kikundi kipo kimyaa, watu wamekula mkwanja
Ova
 
Kuna watu hawafikiri sawasawa.

Mtoa post atakubali Mama au Baba au mkewe/mumewe au mtoto azikwe na City wakati yeye yupo anatazama?

Labda mtoa post anauwezo kiuchumi

Lakini kama ndio hawa wa below 2M kwa mwezi hana ubavu

Akizikwa na CITY na wewe ukimzika tofauti ni ipi au wewe unaenda kuzika sebleni au mnaweka kwenye kioo.Wa maonyesho huyo mpendwa wenu.

As long as kuzika ni vilevile hakuna haja ya kupoteza rasilimali kibao kwa kitu kilicho wazi.

Uzike msoma,uzike moshi uzikwe na city uchomwe moto haibadilishi chochote kufa ushakufa na ndio acheni kujipa umuhimu na kupoteza pesa bila sababu zenye maahiko.
 
Nakuunga mkono ..hivo vikundi vimekuwa vingi saana mpaka vinatishia ustawi wa uchumi...tunachanga kaxini,ukoo,,schoolmate..mtaani kila mahali mkoba...blal shiiti

Ukiviendekeza hakuna kitu utawekeza kazi yako itakuwa ni kuchangia magroup ya hovyohovyo.Ukija kustuka roho za kichawi zitaanza kukuandama unaanza kuombea na wewe upate hata mtu mmoja afe ili upunguze machungu ya kuchangaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Alafu wanaochanga sio kwamba wanapesa. Ni kwa sababu ni tukio linalohusu kuwasaidia waliohai wamempoteza mpendwa wao.
Mkuu nimezungumzia hela zinazotoka kwenye mfuko wa kikundi acha hizi za kuguswa hizo ni zingine kabisa hazihusiani na kikundi ni zinatoka kwa watu tu binafsi mtu kaguswa na msiba anatoa pole millioni anaandika kwenye kitabu anasaini sasa nazungumzia za kikundi zinakuja km package na hizi hua zinachelewa kidogo haziji hapo hapo km za donee donee hizi za kitabu na kusaini kuchangisha
 

Imefikia hatua watu wanalazimishana, huko maeneo ya makazini watu wanalazimishana mno.

HAPO HUJAJA KWENYE MAGROUP YA HARUSIπŸ™ŒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Wanajua wakiendelea kuongeza MANYUMBU KWENYE HAYO MAGROUP NDIO VITITA VINAKUWA VIKUBWA ZAIDIπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

FINANCIAL LITERACY NI NDOGO MNO KWA JAMII YA KITANZANIA.
 
Kwenye hivyo vikundi kuna watu wa aina mbili.
1. Kundi la wengi lenye hofu na kesho yao. Hicho kikundio kinaleta tumaini.
2. Kundi la wachache sana lenye manufaa zaidi ya wanayopata wengine.

Usipikua sehemu ya hao wawili ni ngumu kujiunga.
 
Mkuu ushawahi toka nje ya Tanzania hata hapo Malawi tu? Au ulishafanya biashara na mtu asiye mtanzania na hajui kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…