Wachagga, Wakikuyu na Waigbo

Wachagga, Wakikuyu na Waigbo

Wenzako wenye chuki kama wewe walishindwa miaka mingi ndio maana mpaka

Wanasonga mbele kimaendeleo. Nje na ndani na chi
Hivi Roma Mkatoliki kabila Gani anakula sana maisha Ulaya.. Sisi kuwacheulia mamother maziwa

1724825944443.png
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Mpaka leo unawaza makabila tu!
..
 
Hivi Roma Mkatoliki kabila Gani anakula sana maisha Ulaya.. Sisi kuwacheulia mamother maziwa

1724826344954.png
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Ni majizi mno
 
Nilikuwa Canada Juzi tu Saizi nawaza Kumfukuza Mwanangu nyumbani akifika miaka 18..

Nilikuwa na Pambana kwa Ajili ya Mwanangu - Kumbe ukifika miaka 18 unatakiwa nawe ukapambane OG..
Ngoja nijipambanie mwanagu ukikuwa Utanilea...

Hivi Lema kabila Gani anakula sana maisha Ulaya.. Sisi kuwacheulia mamother maziwa
1724826932453.png
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-28-09-31-52-58.png
    Screenshot_2024-08-28-09-31-52-58.png
    652.1 KB · Views: 5
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
taja mchaga tajiri Tanzania nzima tuone kama yupo umekariri kuangalia utajiri kwa pesa na majumba na biashara unawajua wamasai wanavyofuga huko kijijini na wasukuma unawajua! utajiri sio pesa na nyumba na biashara tu inaonekana wewe hujatembea mikoa mingine wewe ukiona tu mtu ana nyumba na biashara tayari unajua ana bidii sana tayari unajua ni kabila linaloongoza watu mnachekesha
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Tahadhari...usi date na makabila tajwa
 
Ungesema hayo ni makabila yanayofanya biashara sana ningekuelewa maana makabila hayo hawalimi sana na hawafugi sana ndiyo maana wanajiweka kwenye biashara ila kwa utajiri hapana, unakuta mchaga ana nyumba na duka moja tu sasa huo ndiyo utajiri!
 
kuzunguka koote ukute unataka kutwambia kuwa Ndugulile naye ni Mchaga
 
Ungesema hayo ni makabila yanayofanya biashara sana ningekuelewa maana makabila hayo hawalimi sana na hawafugi sana ndiyo maana wanajiweka kwenye biashara ila kwa utajiri hapana, unakuta mchaga ana nyumba na duka moja tu sasa huo ndiyo utajiri!
Wanalima sana.
 
Back
Top Bottom