puritygirly
Member
- Mar 28, 2018
- 38
- 121
Lakin wahusika umewauliza?? Maana usipowauliza hata utukane hapa na watatu watakijia piaUnajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi?
Sasa kumbe unajua vinakopelekwa halafu unahoji?Najua changu kiko wapi kimetupwa sehemu moja hivi naijua sio nyie mnaenda kuvibandika kwa mizimu .
Sina hasira mimi ni nyie ndio mnayo hiyo hasira kabisaa watu wanitukane ni nyamaze kwani wao au wewe ninani andikeni vizuri mjibiwe vizuri hasira nani anahasira na watoto ni wakichaga sisi ni wameru hatunaga shida kama zenu matambiko, mara kuag kwenu , mara kuhesabiwa mara vitovu mara hili mara lile shida nini?Lakin wahusika umewauliza?? Maana usipowauliza hata utukane hapa na watatu watakijia pia
Itakuw bado hujapata suluhisho la tatizo hasira inabidi ukamalizie kw hao wanaovichukua
Nataka mmoja aropokeSasa kumbe unajua vinakopelekwa halafu unahoji?
[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu kuna watu hawana kazi za kufanya, wanaweza fanya huo ujinga .Chumvi zinazozidi zinaharibu mantiki nzima.
Kwamba hao mawifi na wakwe hawana kazi za kufanya, wametoka huko walipotoka, wamelipa nauli, wamepoteza siku za kutosha. Waje kukaa kwenye nyumba ya dada ako ya kupanga wasubiri kitovu cha mtoto?
Kama wana biashara zao, au ajira zao wazisimamishe kisa wakae usiku na mchana wakisubiri kitovu cha mtoto wa dada ako?
Sio hawana kazi ila ni mila zao wanahairisha kila kitu wanakuja juu kuhusu kitovu kikowapi??[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu kuna watu hawana kazi za kufanya, wanaweza fanya huo ujinga .
Unakerwaje na Mila zisizokuhusu why in the first place ilikubali ndugu yenu aolewe na hao watu?Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
Wachagga haturopokiNataka mmoja aropoke
[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya wachagga yanakuhusu nn?...
Sisi tunajua sasa wewe unataka kujua ili ikusaidie nn?..
Ujue wewe Kama nana labda ?...
Jarbu kuepuka kufatilia mambo yasiyokuhusu.
Kuna watu wana viherehere sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwao kitovu ni muhimu kuliko uliyoyasemaChumvi zinazozidi zinaharibu mantiki nzima.
Kwamba hao mawifi na wakwe hawana kazi za kufanya, wametoka huko walipotoka, wamelipa nauli, wamepoteza siku za kutosha. Waje kukaa kwenye nyumba ya dada ako ya kupanga wasubiri kitovu cha mtoto?
Kama wana biashara zao, au ajira zao wazisimamishe kisa wakae usiku na mchana wakisubiri kitovu cha mtoto wa dada ako?
Wewe mzungu yesu unamuona mtakatifu sana na kumuabudu HALAFU BABU YAKO WA DAMU YAKO UNAMUONA MZIMU....... shituka wewe .....Ni mambo ya ushirikina tu hamna lolote, wanajificha kwenye mila za mababu, tamaduni sijui mizimu ya ukoo na matakataka kama hayo. Kama unamwamini Mungu usithubutu kuwapa vitovu vya watoto wako, wataenda kuwafunga kwenye maagano yao ya kichawi wanayoita mizimu, nafikiri hii ipo kwenye kila kabila hapa bongolala, maana bongolala haikosekani kwenye top ten ya ulozi duniani....