Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #61
Nanukuu Ni mambo ya ushirikina tu hamna lolote, wanajificha kwenye mila za mababu, tamaduni sijui mizimu ya ukoo na matakataka kama hayo. Kama unamwamini Mungu usithubutu kuwapa vitovu vya watoto wako, wataenda kuwafunga kwenye maagano yao ya kichawi wanayoita mizimu, nafikiri hii ipo kwenye kila kabila hapa bongolala, maana bongolala haikosekani kwenye top ten ya ulozi duniani.... kilichoandikwa nanimepata majibu yangu niliyokuwa nataka .Ifike mahali tuheshimiane ..... Kwanza ondoka hapo kwa dada yako haraka tafuta kwako..... HALAFU KUWA NA HESHIMA NA FAMILIA ZA WATU.
Na kwangu kama hujui napia siwezi ondoka kwa dada kama hajamaliza kunyonyesha nitakaa mpaka kieleweke shindwa na ulegee