Wachagga, watoto wakizaliwa mnapeleka wapi vitovu?

Wachagga, watoto wakizaliwa mnapeleka wapi vitovu?

Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu?

Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka wapi hicho kitovu? Naumuhimu wakukichukua nini naomba mnijuze kwa maana kuwa na mazoea nawachagga sintoweza.

Haya tunaomba mtuelezee mnafanyia nini vitovu vya watoto?

Mimi ata waje ukoo mzima siwezi kumpa yeyote kitovu cha mwanangu! Ova[emoji2292].
 
Mimi ata waje ukoo mzima siwezi kumpa yeyote kitovu cha mwanangu! Ova[emoji2292].
Siyo kila mchaga au kila ukoo unataka vitovu..... ni familia ya shemegi wa mleta mada wana utaratibu huo..... SASA NGOJA AHARIBU NDOA YA DADA YAKE HALAFU AWE MDANGAJI
 
Sawa, endelea kushtuliwa na wafu.....au ni hayo maroho mnayoita mizimu ambayo basically ni mapepo yanayotafuta kuabudiwa.
Weweeeee...... nakueleza sasa kwamba hata huyo myahudi yesu ni MZIMU ..... sema tu namna ya kuelewa mimi na wewe ni tofauti.... LAKINI KILA ALIYEKWISHA KUFA NI MZIMU TU..
 
Mimi ata waje ukoo mzima siwezi kumpa yeyote kitovu cha mwanangu! Ova[emoji2292].
Kwa wale wasiojielewa wanaweza kuingia huu mkenge na kusababishia watoto shida huko mbeleni.....
 
Sijandika vibaya wala nini nauliza tena vituti vya watoto mnavipelekaga wapi??
Semeni basi chapu ...
Kabla mi mmeru sijavunja chungu
Pumbavu mkubwa wewe laiyoni mvunja chungu
Endelea kuvunja chungu
 
Sina hasira mimi ni nyie ndio mnayo hiyo hasira kabisaa watu wanitukane ni nyamaze kwani wao au wewe ninani andikeni vizuri mjibiwe vizuri hasira nani anahasira na watoto ni wakichaga sisi ni wameru hatunaga shida kama zenu matambiko, mara kuag kwenu , mara kuhesabiwa mara vitovu mara hili mara lile shida nini?

Nyie tu makabila mengine hawana shida kama zenu.
We laiyoni tangu lini ukawa mmeru??
Mila zetu wameru na wachaga zinafanana sasa wewe utopolo umetoka wap meru??
 
Weweeeee...... nakueleza sasa kwamba hata huyo myahudi yesu ni MZIMU ..... sema tu namna ya kuelewa mimi na wewe ni tofauti.... LAKINI KILA ALIYEKWISHA KUFA NI MZIMU TU..
Aliyekueleza YESU yupo kwa wafu kakudanganya labda huyo yesu wa herufi ndogo, jaribu kutafiti mambo kabla ya kuja kuropoka.......usiongelee jambo usilokuwa na ufahamu nalo, unaweza kujikuta unakufuru hasa kama jambo hilo linahusu IMANI KWA MUNGU MKUU. Kumbuka unapolinganisha IMANI KWA MUNGU MKUU na imani kwa mizimu unakuwa unakufuru, nafikri niishie hapa.​
 
Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
Wakwe zako ni jobless kwamba wanakuja kujifutika kwa dada ako wasubiri kitovu cha mtoto ambaye mtoto wao anaweza kubambikiwa.

Ficha ujinga wako.
 
Aliyekueleza YESU yupo kwa wafu kakudanganya labda huyo yesu wa herufi ndogo, jaribu kutafiti mambo kabla ya kuja kuropoka.......usiongelee jambo usilokuwa na ufahamu nalo, unaweza kujikuta unakufuru hasa kama jambo hilo linahusu IMANI KWA MUNGU MKUU. Kumbuka unapolinganisha IMANI KWA MUNGU MKUU na imani kwa mizimu unakuwa unakufuru, nafikri niishie hapa.​
Huwezi kunidanganya aisee...... yesu na muhamad ni mababu tu kama mababu wengine..... SASA WEWE ABUDU MIBABU YA KIYAHUDI NA KIARABU HALAFU MIJI MGUMU NAISHI NA MABABU ZANGU.....😀😀😀😀
 
Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
Wewe ni taahira,
kwanza kwa taarifa wachaga siyo watu wa kuhemea kwa wakwe ie hawawezi kwenda kukaa kwa wakwe. Tabia za wazazi, kaka,dada kwenda kukaa kwa wakwe na mashemeji ni tabia za watu wajinga na mataahira kama ulivyo.

OVER
 
Unakerwaje na Mila zisizokuhusu why in the first place ilikubali ndugu yenu aolewe na hao watu?
Hivi mf. Wewe ni mkenya ukaolewa uheheni suddenly uote hawa watu wanakula mbwa ??
Siadi uone kuwa hawa ndio zao kula mbwa au wanyakusa kula paka??
Au wakisii kula fuko ?
Huwezi kudadisi makabila ya watu na mtu hakukeri hadi uishi naye ndio akukeree
 
Wewe ni taahira,
kwanza kwa taarifa wachaga siyo watu wa kuhemea kwa wakwe ie hawawezi kwenda kukaa kwa wakwe. Tabia za wazazi, kaka,dada kwenda kukaa kwa wakwe na mashemeji ni tabia za watu wajinga na mataahira kama ulivyo.

OVER
Hadi hapo inaonyesha ni jinsi gani umetambikiwa mpaka umechanganyikiwa
 
Ni mambo ya ushirikina tu hamna lolote, wanajificha kwenye mila za mababu, tamaduni sijui mizimu ya ukoo na matakataka kama hayo. Kama unamwamini Mungu usithubutu kuwapa vitovu vya watoto wako, wataenda kuwafunga kwenye maagano yao ya kichawi wanayoita mizimu, nafikiri hii ipo kwenye kila kabila hapa bongolala, maana bongolala haikosekani kwenye top ten ya ulozi duniani....​
Kweli kabisa nawaliwaka kitovu kiko wapi??
Kiko wapi??
Hatuwaelewi tukakaa kimya na mdomo huwa mchafu ila hiyo siku nilikuwa kimya??
Hii ni mbaya sana kama watu huamini maajabu kama hayo hadi vituti vya watoto wadogo mmh!
 
Back
Top Bottom