Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa.

Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu. Listi kamili ya top 5 ya vinywaji vya asili na ranks zake ni kama ilivyo hapa chini
  1. Gongo
  2. togwa
  3. mbege
  4. wanzuki
  5. mnazi
wakuu karibuni sana hapa Remung'orori wilayani Serenget tupate togwa baridi
 
Naweka order pipa mbili zije hapa Kimara nifanye comparison, naomba account number
 
Bila ya kuwepo ulanzi na komoni hii thread ni batili.
 
kufananisha mbege na togwa ni sawa na kufananisha kifo na usingizi togwa labda uifananishe na uji wa ulezi ila kwenye list ya pombe za asili mbege ni super brand hapa nchini na mbege iko kundi na wenzie kina ulanzi na komoni hukoo ila gongo sijui asili yake kabila gani dah 😂😂😂
 
Back
Top Bottom