kufananisha mbege na togwa ni sawa na kufananisha kifo na usingizi togwa labda uifananishe na uji wa ulezi ila kwenye list ya pombe za asili mbege ni super brand hapa nchini na mbege iko kundi na wenzie kina ulanzi na komoni hukoo ila gongo sijui asili yake kabila gani dah πππ