Wachambuzi hawana tofauti na mashabiki, wote maandazi

Japokuwa wanaona ni ujanja na wanajipatia hela toka GSM lakini waelewe kuwa jambo hili ni baya sana linaweza kuvuruga amani na pia ni hatari hata kwa maisha yao wenyewe kwani wajue wanawaudhi mamilioni ya wana Simba nchi nzima hii.
 
Hao hawajawahi kuisema Simba vizuri,wanalipwa kwa kazi ya kuivuruga Simba,ila wajue kazi wanayofanya ina hatarisha maisha yao wenyewe
Peleka matapishi Yako Kwa Babra, n stori ngapi wanaandika kuhusu Simba na mnafurahia!!
Hao hawajawahi kuisema Simba vizuri,wanalipwa kwa kazi ya kuivuruga Simba,ila wajue kazi wanayofanya ina hatarisha maisha yao wwenye
 
Japokuwa wanaona ni ujanja na wanajipatia hela toka GSM lakini waelewe kuwa jambo hili ni baya sana linaweza kuvuruga amani na pia ni hatari hata kwa maisha yao wenyewe kwani wajue wanawaudhi mamilioni ya wana Simba nchi nzima hii.
Hivi kwanini mtu akisema jambo baya kuhusu Simba anahusishwa na GSM? Kweni haiwezi kua ni mawazo Yao binafsi?

Na je wanaoisema vibaya Yanga wakina binti kazumari wanapokea pesa kutoka wapi?

Tuache propaganda jamani
 
GSM amewekeza kwenye vita halisi na hao hawajawahi kumsema vibaya Hersi hata anapofanya ndivyo sivyo.

Kuna mengi wanazusha ili waendelee kulipwa na gsm
 
Japokuwa wanaona ni ujanja na wanajipatia hela toka GSM lakini waelewe kuwa jambo hili ni baya sana linaweza kuvuruga amani na pia ni hatari hata kwa maisha yao wenyewe kwani wajue wanawaudhi mamilioni ya wana Simba nchi nzima hii.
Kama wanavyojipatiaga pesa kutoka kwa kanjibhai Mo kueneza propaganda au sio
 
Japokuwa wanaona ni ujanja na wanajipatia hela toka GSM lakini waelewe kuwa jambo hili ni baya sana linaweza kuvuruga amani na pia ni hatari hata kwa maisha yao wenyewe kwani wajue wanawaudhi mamilioni ya wana Simba nchi nzima hii.
Wewe ndio ungekua GSM ungekua unatoa hela zako ili Simba isemwe vibaya? Niambie faida anayopata GSM kutokana na hayo maneno, mfano Binti Kazumari anatumwa na nani kundika negativities za Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…