BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Tofauti ya wachanbuzi wa kibongo iko hapaView attachment 2351709
Hivi wabongo tunaweza wapi,maana kila sehemu ni ujinga ujinga tu. Sasa wachambuzi wamegeuka kiwanda cha uzushi
Leo hii mnamkataa mpaka shafii????Wachambuzi uchwara hawa hapa kiranja wao ni Maulid Kitenge. Hawa tunawatangaza kuwa ni maadui namba moja wa Club ya Simba ,wameunda group lao la WhatsApp kwa ajili ya kuichafua Simba.View attachment 2351733
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha vitisho visivyo na maanaHao hawajawahi kuisema Simba vizuri,wanalipwa kwa kazi ya kuivuruga Simba,ila wajue kazi wanayofanya ina hatarisha maisha yao wenyewe
Mashabiki wa simba kwa sehemu kubwa ktk hili wanaonesha ujinga, leo hii wao wa kumkataa shafii????Wewe ndio ungekua GSM ungekua unatoa hela zako ili Simba isemwe vibaya? Niambie faida anayopata GSM kutokana na hayo maneno, mfano Binti Kazumari anatumwa na nani kundika negativities za Yanga
Kweli shule tatizo, mtu anaandika maandishi kama haya kuweka vituo hawezi. Mkajifunze kuandika kwanza.Huyu Kitenge huyu shauri yakeView attachment 2352334
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe ungekuwa na shule ya maana ungekuwa unashinda kupost ujinga humu? Wewe ni kilaza tu bwege wewe.Kweli shule tatizo, mtu anaandika maandishi kama haya kuweka vituo hawezi. Mkajifunze kuandika kwanza.
Mashabiki wa simba kwa sehemu kubwa ktk hili wanaonesha ujinga, leo hii wao wa kumkataa shafii????
Watu wanakula kisamvuKitenge ni bwa..bwa asamehewe
ukiwaona ni watu wazima lakini AKILI hawana.Wachambuzi uchwara hawa hapa kiranja wao ni Maulid Kitenge. Hawa tunawatangaza kuwa ni maadui namba moja wa Club ya Simba ,wameunda group lao la WhatsApp kwa ajili ya kuichafua Simba.View attachment 2351733
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ila hapo kwenye kutiwa mimba na mayele ni janga kubwa sana,kuna mshabiki mwingine wa Yanga Baba Levo aliomba apewe mimba na Diamond amzalie watoto mapacha. Tuzidisheni maombi idadi ya wanaume huko Yanga inapungua kwa kasi sana.Haya ndo Matokeo ya uzazi wa mpango. Binadamu wengi wanaozaliwa kwa sasa ni feki. Wachambuzi feki , Mashabiki wa utopolo ni feki hadi wanaume wazima wanaomba kutiwa mimba na mayele .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mbona na wewe umekuja kishari shari kama changudoa aliyekopwa? Ralax, hakuna ugomvi wala makasiriko huku.Mnajadili nini humu mbona mna hasira kama single mothers?
Hivi shaffi si ndiye alisemaga simba ni underdog wakati JS saula yupo kwenye kundi hilo hilo na hana rekod yoyote CAF, na matokeo yake simba akaenda robo fainali, ilikuwa mwaka gani vile?Leo hii mnamkataa mpaka shafii????