Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuna watu wanashangaza sana Tsh. Wamefungwa waarabu lakini wao watanzania wanaumiaHizo dk zilikuwa za Simba tu? Wengine waliambiwa waacheni Simba wacheze mfungwe.
Wa ajabu mno. Hilo jina lako limenichekesha.Kuna watu wanashangaza sana Tsh. Wamefungwa waarabu lakini wao watanzania wanaumia
Kwani Waarabu ndio waliotunga sheria za mpira wa miguu?Kuna watu wanashangaza sana Tsh. Wamefungwa waarabu lakini wao watanzania wanaumia
Hiyo ni kazi ya utopoloHapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.
Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Hizi ni nongwa za wazi kabisa ndugu yanguHapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.
Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri
Sasa siwangekausha wakaenda kukata rufaa CAF kama wa nadhani wameonewa. Nguruwe kabisa hawa waarabuKwani Waarabu ndio waliotunga sheria za mpira wa miguu?
Ingekua ni Yanga kafunga dakika zile watu wangeongea sanaHizo dk zilikuwa za Simba tu? Wengine waliambiwa waacheni Simba wacheze mfungwe.
Cs sfaxien ndo walong'oa vitiSimba wapumbavu wanawarushia mashabiki viti kisa nini
Kina nani hao wangeongea mkuu?Ingekua ni Yanga kafunga dakika zile watu wangeongea sana
Nyie mashabiki wa simba na wachambuziKina nani hao wangeongea mkuu?
Dakika za nyongeza azinaga nyongeza Babu,,dakika zilishakwisha za kawaida na nyongeza sasa zile nyingine alitaka kitu Gani!Hizo dk zilikuwa za Simba tu? Wengine waliambiwa waacheni Simba wacheze mfungwe.
Mara ya mwisho mlifunga lini tukaongea?Nyie mashabiki wa simba na wachambuzi
Nawewe ongea sana mkuu labda utaongeza point zako na kukutoa mkiani kuleIngekua ni Yanga kafunga dakika zile watu wangeongea sana
We hangaika tu na shanga zako za shirikisho ulizopeleka ikuluMmebebwa!