Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Mara ya mwisho mlifunga lini tukaongea?
Wewe ni mshabiki wa simba umefurahia ushindi kwamwe huwezi kubali hatakama madhaifu na hii tabia iko hadi kwa mashabiki wa Yanga

Na kinachorudisha mpira wetu nyuma ni ile hali ya unafki kwa sababu jambo limefanya timu yake hawezi ongea utasifia
 
Waarabu walipambana Sana na walistahili kupata Alama ila Refa alikua mwiba mkali dhidi Yao.
Kama timu Yako ipo ugenini na refa anachezesha kwa namna ya Leo mpira ulivyo chezeshwa uta nung'unika na utatukana Kila aina ya tusi na hutakua na lakufanya.
 
Attachments

  • Screenshot_20241215-185336.jpg
    Screenshot_20241215-185336.jpg
    378.5 KB · Views: 4
Wewe ni mshabiki wa simba umefurahia ushindi kwamwe huwezi kubali hatakama madhaifu na hii tabia iko hadi kwa mashabiki wa Yanga

Na kinachorudisha mpira wetu nyuma ni ile hali ya unafki kwa sababu jambo limefanya timu yake hawezi ongea utasifia
Sasa mkuu, kwani leo Simba imeurudisha mpira wetu nyuma au imeupeleka mbele?
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Wachawi wa nyuma mwiko waliacha kushikilia map.u.mbu wakijua mchezo umekwisha!
 
Waarabu walipambana Sana na walistahili kupata Alama ila Refa alikua mwiba mkali dhidi Yao.
Kama timu Yako ipo ugenini na refa anachezesha kwa namna ya Leo mpira ulivyo chezeshwa uta nung'unika na utatukana Kila aina ya tusi na hutakua na lakufanya.
Waarabu wa twiga na jangwani mmetukana sana na kuumia kwa kiwango cha sgr
 
Hizi ni nongwa za wazi kabisa ndugu yangu
Muda uliongeza kipa wa CS Sfaxien akiwa amelala huoni kama refa alikua anafidia dakika zilizopotea?
Ingekua wewe ndo refarii wa mechi kama ile ambayo wachezaji wanajilaza ungefanyeje?
Achana na huyo dunga dunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom