Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

A few moment later ,πŸ™ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Ngoja kwanza mkuu,yombo toka lini akapiga yogaπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajiabisha..hata wakitapeliwa pesa ni za kwako? Sio kila kitu ni Cha kukoment kama huna Cha maana Cha kusema..watu wametafuta pesa kwa jasho lao wanatumia watakavyo wewe unaumia wakitapeliwa..uko sawa kichwani? Halafu hii tabia ya ******* ya kuita watu matapeli bila kua na ushahidi wa kudhibitisha muache ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…