Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Uyo Mgaga akifinywa vizuri atasema hicho kidubwana katoka nacho wapi.

99% ni Mmeingizwa mjini kama familia... Kwa kua mmeshatapeliwa
basi chakuzingatia ni kuepuka kuchonganishwa na Ndugu jamaa na marafiki Kutokana na ramli chonganishi alizopiga...

Kama kwaaambia mbaya wenu ni nani pasipo ushahidi wa uhakika basi utambue ndio kashawalisha sumu.

Uchawi upo lakini sio kwa staili hii.
 
True kwa sababu wachawi hawana akili ukiwa na akili hata ya kuongoza bata huwezi kuwa mchawi.
 
Wewe mshirikina ndio una exposure na mtatapeliwa sana kwa upumbavu wenu wa kuamini matapeli
Uchawi upo Dunia mzma, dini zote zinszungumzia uchawi sio Islam, ukristo, Buddha, Hindu, taoism, Rasta sasa wewe muuza kitimoto kutoka Mama John mbeya utaniambia nn?
 
Amekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.
Umenifanya nicheke aloo, jamaa wanakuaga na mbinu zao....ukitulia kwa makini anavofanya unajua kabisa nmepigwa huku naonaaa😂😂😂😂anaweka afu anakuzubaisha usione anavokiweka🤗🤗🤗dunia hiii
 
Unaweza ukawa sahihi mkuu ila pia wengine nao wana experience tofauti nao, hujawahi kuona mgonjwa kakosa tiba hospitali na kwenda kutibiwa kwa mganga?

Tukitaka kujadili vizuri hii mada tusikimbilie kufanya hitimisho kwa mitazamo yetu bali tusikilize na wengine ili tujifunze zaidi.
 
Umenifanya nicheke aloo, jamaa wanakuaga na mbinu zao....ukitulia kwa makini anavofanya unajua kabisa nmepigwa huku naonaaa😂😂😂😂anaweka afu anakuzubaisha usione anavokiweka🤗🤗🤗dunia hiii
🤣🤣🤣 nilimwambia mleta mada ila akakaza shingo.
 
Kwani mkuu ulitegemea akuroge vp?
 
Kweli Ila Mimi nimeona pia angel zote

Ugonjwa kukosa tiba hosptalini haimaniishi umerogwa , kumbuka sisi watanzania walio wengi 90% tunaishia hosptali zetu Muhimbili tukienda mbali Sana ni India .

Sio kila ugonjwa tuna uwezo wa kuufanyia diagnosis .

Concept ya MTU kuongea kuwa nimezunguka hosptali zote Ila sijapona inaweza kuwa sio sahihi

Kwakuwa kuna level za kimatibabu na Vifaa hapa Tanzania hatuna.

Mfano yule msanii anaitwa Hawa alikuwa anaumwa Ila at the first amekwenda muhimbili hakupona akaanza kuamini ule ulikuwa ugonjwa wa kichawi Ila alipopelekwa India alipona vizuri and now she is okay.


Mfano mtoa mada ameonesha matunguli Ila nakuhakikishia hayo matungulia ni mganga amecheza na akili zao.

Waganga wanatumia dark psychology kukumbia Adui wa kufikirika na ukiingia king utaanza kuwaamini na hapo utakuwa mteja wao na watakupiga Sana hela.

Uchawi ni level za chini Sana za ufahamu na ambazo haziwezi kumdhuru MTU moja kwa moja hadi yaye aruhusu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…