Wachawi tukutane hapa

Nina maswali kadhaa kwako mchawi wa Sumbawanga.
1. Hivi nyama ya mtu tamu na utamu wake ni kama wa nyama gani?
2.Umesema ulipokuwa Kariakoo wachawi wenzio walikuwa uchi, wewe je, ulikuwa uchi?

3.Halafu mimi nashangaa sana. Ninyi wachawi zamani mlikuwa mnajificha sana,lakini siku hizi mambo hadharani,kama wewe sasa unajitangaza tu bila aibu kwamba umchawi,na kwa kweli wachawi ni watu ambao kwenye jamii hawakubaliki.Nini kimetokea?Naomba kujua.
 
Bosi tufanyeje ili kuifanya serikali iweze kuajiri, au ndiyo uchawi hutumika kwa mambo negative tu?
Serikali haiwezi kuamini uchawi hata siku moja labda kwa nchi za wenzetu wao uchawi nje nje na kila kitu kipo wazi

Ndo mana ukipatikana na tuhuma za uchawi serikali ndo yakwanza kukutetea.
 
Mshana anajuwa hili?
 
Shedede Mbona mbwembwe nyingi mkuu?
 
Habari zenu

Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.

Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)

Hivi ukiwa mchawi ni lazima ule nyama za watu,kunywa damu,kula maiti,kufuga misukule,kuroga watu na kuua watu,hivi vitu haviepukiki katika uchawi?.je mtu anaweza kuwa mchawi asifanye vitu hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…