Kwa nini? Domo zege?Ila kiukweli ningekua mchawi ningekua mzinzi vibaya mnooo.
Ningekua kama popobawa haina kutongoza navamia tu usiku nafanya yangu naondoka.Kwa nini? Domo zege?
Ndio maana nimekuuliza kama we domo zegeNingekua kama popobawa haina kutongoza navamia tu usiku nafanya yangu naondoka.
hahahaAcha aisee! Ukae kulihi?![emoji12]
Hapana ila mimi siyo heart breaker hivyo nikiwa na mmoja ni huyo huyo.Ndio maana nimekuuliza kama we domo zege
Hahaa haya mkuuHapana ila mimi siyo heart breaker hivyo nikiwa na mmoja ni huyo huyo.
Ningekua mwanga ningekua nafanya yangu kinyemela kwa wanawake wengi kwa wakati mmoja bila commitment.
Fantasies[emoji23]The only witches and wizards with smartphones.
Best wishes. Watakuja
Nakuona mama mchawiNooooo.....kumbe nalala na mchawiii ooooo my god
Niko hapa nawaangalia tu