Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

hahaha sifa mojawapo ya nyota ya simba ya jamaa ni Ego na Pride...hapa imejidhirisha wazi mkuu
 
Mmh, na huyu wa trh 22 sept
Namba zako za bahati ni
5, 14, 23, 32, 41, 50

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na elimu, madawa (udaktari) na mipango (planning)

Mchawi wako mkubwa ni KUPENDA kufanya kazi masaa mengi bila kupumzika
 
Wewe ni Taurus (Ngombe)

Ni mtu usiependa kuingiliwa kwenye maamuzi yako na unakua mkaidi sana mtu anapojaribu kufanya hivyo.

ni mfanyaji kazi mzuri na ukiamua jambo lako na kuliamini ni ngumu sana kuyumbishwa na mitazamo ya watu wengine

Shida yako kuu ni Ukaidi (stubborn)

22 April Nisaidie Mkuu
 
niangalizie tar 26 / 12
wewe ni Capricon (mbuzi)

uko very ambitious na ni mfanyajikazi mzuri

ni mtu unaependa mpangilio mzuri wa mambo yako na pia ni mtu wa kuaminika na kutegemewa (vey reliable)

but ur too serious bro (a little fun)

ur' fellow Capricon folk ni Mwijaku[emoji2]
 
Tarehe 8 mwezi wa 10
Namba zako za bahati ni
6, 15, 24, 33, 42, 51, 60

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na SIASA, UONGOZI NA MAMBO YANAYOHUSIANA NA JAMII (social works)

Wachawi wako wakubwa ni KUTOKUSAMEHE, KUOGOPA UGOMVI (hupendi kukabiliana - confrontation ) , NA KUJIDHURU BINAFSI (self pity)
 
Baada ya kufuatilia nyota yangu kwa miaka mingi nilikuja kugundua mchawi mkubwa kwenye maisha yangu alikuwa ni mimi mwenyewe
 
Vipi mwenye uwezo wa kuhamisha nyota anaweza kunihamishia nyota ya Isaac Newton kwasababu ninakabiliwa na mtihani wa mwisho wa kumaliza chuo kwenye ndaki ya uhandisi kwasababu sijafanya maandalizi ya kutosha ya kusoma hivyo nataka nihamishiwe nyota ya Sir Isaac Newton iniwezeshe kushinda mtihani huo, niko tayari kulipa ela yoyote atayotaka.
 
Nyota yako ni Mizani (Libra)...unapenda usawa na amani na kwenye kila jambo

Una nyota ya kupendwa na watu.In short you are Mr Nice guy... other libra folk ni Kikwete

Darkside yako ni kuwa wewe ni mgumu sana wa kufanya maamuzi
Mafanikio na mahusiano vp?
 
Darby ya juzi nani aliiba nyota ya mwenzie?
 
Mkuu,

Kwanini Miti7 kwanini siyo Miti4? Kwani 7 ina nini badala ya 4, 2, 3,1 au tarakimu yoyote ile? Tuanzie hapo kwanza.
 
Vipi visomo vyenu vya nyota vinasemaje Mbowe atafungwa jela au atashinda? Ili tujiandae kisaikolojia.
 
Na mafanikio vp
 
Vipi visomo vyenu vya nyota vinasemaje Mbowe atafungwa jela au atashinda? Ili tujiandae kisaikolojia.
Mbowe hawezi kufungwa siyo kwa sababu ya nyota bali ni kwa sababu kesi yake haina ukweli wowote na jumuiya za kimataifa hazitakubali hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…