Wachechniya wamechukua tenda ya kuwafurusha Ukraine kutoka Kursk. Wamekomboa maeneo kadhaa huku jeshi la Urusi likisonga mbele Donest

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita.

Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la Urusi kwamba wameteka maeneo kadhaa ya Donest na kukaribia kuuchukua mji wa kistratejia wa Provosk.
---
Moscow’s troops have retaken some 10 settlements, claims major general; no comment from Ukraine.
A senior military commander says Russian forces have launched a major counteroffensive in Kursk, claiming gains in some territory seized by Ukrainian forces last month.

Major General Apti Alaudinov, speaking to Russia’s TASS news agency on Wednesday, said the campaign has successfully pushed Ukrainian troops out of “about 10 settlements” they had captured in the western region.

“The situation is good for us,” Alaudinov, who commands Chechnya’s Akhmat special forces who are fighting in Kursk, was quoted by TASS as saying.

Alaudinov’s claims were echoed by several pro-Russian war bloggers reporting on the Russian counteroffensive in Kursk.

Influential blogger Yuri Podolyaka said Russian forces had taken several villages on the west of the sliver of Russia that Ukraine had taken, pushing Ukrainian forces to the east of the Malaya Loknya River south of Snagost.

The statements could not be independently verified, while Ukraine has not commented.

The battlefield claims come a month after Ukrainian forces waged the biggest foreign attack on Russia since World War II, smashing through the border into Kursk aided with swarms of drones, heavy weaponry and artillery, some Western-made.

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the attack was an attempt to bring the war to Russia, to force Putin to peace and to carve out a buffer zone to prevent Russian attacks on the neighbouring Sumy region.

As of last week, he said Ukrainian forces were in control of 100 settlements in the region, spanning an area of more than 1,300 sq km (500 sq miles).

Russia claims Kursk counteroffensive pushing back Ukraine forces

Hadi kuifikia tarehe ya Leo wavamizi wa mkoa wa Kursk wameshauliwa jumla 12200 pamoja na idadi kubwa ya silaha zao kuteketezwa.

11 SEP, 14:08
Ukraine’s army loses over 350 troops in Kursk area over past day — Russia’s top brass

The ministry noted that over the period of combat operations in the Kursk area, the enemy has lost over 12,200 personnel, 96 tanks, 42 infantry fighting vehicles

MOSCOW, September 11. /TASS/. The Ukrainian armed forces have lost over 350 servicemen and 13 armored vehicles, including three tanks, in the borderline Kursk area over the past 24 hours, the Russian Defense Ministry reported on Wednesday.

"Over the past 24 hours, the Ukrainian army’s losses amounted to over 350 personnel and 13 armored vehicles, including three tanks, three armored personnel carriers, seven armored combat vehicles, as well as an artillery gun, two multiple rocket launch systems and 19 motor vehicles," the ministry said in a statement.

The ministry added that over the period of combat operations in the Kursk area, the enemy has lost over 12,200 personnel, 96 tanks, 42 infantry fighting vehicles, 77 armored personnel carriers, 656 armored combat vehicles, 401 motor vehicles, 90 artillery guns, 26 multiple launch rocket systems, including seven HIMARS rocket launchers and five M270 MLRS, eight surface-to-air missile systems, two transporter-loader vehicles, 22 electronic warfare stations and seven counter-battery radar stations, two air-defense radar systems, eight engineering vehicles, among them two obstacle-clearing vehicles and one UR-77 mine-clearing vehicle.
 
Mnapenda namba lakini hamjui hesabu
 
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita.

Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la Urusi kwamba wameteka maeneo kadhaa ya Donest na kukaribia kuuchukua mji wa kistratejia wa Provosk.
---
Moscow’s troops have retaken some 10 settlements, claims major general; no comment from Ukraine.
A senior military commander says Russian forces have launched a major counteroffensive in Kursk, claiming gains in some territory seized by Ukrainian forces last month.

Major General Apti Alaudinov, speaking to Russia’s TASS news agency on Wednesday, said the campaign has successfully pushed Ukrainian troops out of “about 10 settlements” they had captured in the western region.

“The situation is good for us,” Alaudinov, who commands Chechnya’s Akhmat special forces who are fighting in Kursk, was quoted by TASS as saying.

Alaudinov’s claims were echoed by several pro-Russian war bloggers reporting on the Russian counteroffensive in Kursk.

Influential blogger Yuri Podolyaka said Russian forces had taken several villages on the west of the sliver of Russia that Ukraine had taken, pushing Ukrainian forces to the east of the Malaya Loknya River south of Snagost.

The statements could not be independently verified, while Ukraine has not commented.

The battlefield claims come a month after Ukrainian forces waged the biggest foreign attack on Russia since World War II, smashing through the border into Kursk aided with swarms of drones, heavy weaponry and artillery, some Western-made.

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the attack was an attempt to bring the war to Russia, to force Putin to peace and to carve out a buffer zone to prevent Russian attacks on the neighbouring Sumy region.

As of last week, he said Ukrainian forces were in control of 100 settlements in the region, spanning an area of more than 1,300 sq km (500 sq miles).

Russia claims Kursk counteroffensive pushing back Ukraine forces

Labda wasonge ugali
 
Zelensky akili yake anajua mwenyewe hyo nguvu aliyotumia kuvamia Kursk angeitumia kulinda maeneo yake ingesaidia sn kuliko alichofanya
Russia naye angeangaika kuikomboa kursk mtu anavamia kwako kumtoa kazi ,alafu unaleta propaganda unasonga mbele labda kusonga ugali
 
Kama mpaka leo jeshi la Ukraine bado liko Rusia basi kuna shida, mimi nilijua sijui ili ile waliwatimua.
 
Si tulisema Ukraine hawezi maliza mwezi hapo Kursk?
Sasa hao waukraine waliopo kursk wanafanya nini si watakufa tu kwa njaa hawana supply yoyote ya chakula maji wala silaha wanatakiwa kujisalimisha au kufa njaa
 
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita.

Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la Urusi kwamba wameteka maeneo kadhaa ya Donest na kukaribia kuuchukua mji wa kistratejia wa Provosk.
---
Moscow’s troops have retaken some 10 settlements, claims major general; no comment from Ukraine.
A senior military commander says Russian forces have launched a major counteroffensive in Kursk, claiming gains in some territory seized by Ukrainian forces last month.

Major General Apti Alaudinov, speaking to Russia’s TASS news agency on Wednesday, said the campaign has successfully pushed Ukrainian troops out of “about 10 settlements” they had captured in the western region.

“The situation is good for us,” Alaudinov, who commands Chechnya’s Akhmat special forces who are fighting in Kursk, was quoted by TASS as saying.

Alaudinov’s claims were echoed by several pro-Russian war bloggers reporting on the Russian counteroffensive in Kursk.

Influential blogger Yuri Podolyaka said Russian forces had taken several villages on the west of the sliver of Russia that Ukraine had taken, pushing Ukrainian forces to the east of the Malaya Loknya River south of Snagost.

The statements could not be independently verified, while Ukraine has not commented.

The battlefield claims come a month after Ukrainian forces waged the biggest foreign attack on Russia since World War II, smashing through the border into Kursk aided with swarms of drones, heavy weaponry and artillery, some Western-made.

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the attack was an attempt to bring the war to Russia, to force Putin to peace and to carve out a buffer zone to prevent Russian attacks on the neighbouring Sumy region.

As of last week, he said Ukrainian forces were in control of 100 settlements in the region, spanning an area of more than 1,300 sq km (500 sq miles).

Russia claims Kursk counteroffensive pushing back Ukraine forces

Tatizo taarifa zako huwa haziaminiki kutokana na kutokua mkweli na kulalia upande mmoja.
 
Sasa hao waukraine waliopo kursk wanafanya nini si watakufa tu kwa njaa hawana supply yoyote ya chakula maji wala silaha wanatakiwa kujisalimisha au kufa njaa
Lengo lao ni kufikia Moscow!!
Jana Zelensky alifika Ujerumani kukutana viongozi waandamizi wa US na UK; anaomba US imruhusu kutumia silaha za US kupiga ndani ya Russia.
UK wao walishampa ruksa kutumia makombora yao kupiga ndani ya Russia.
 
Sasa hao waukraine waliopo kursk wanafanya nini si watakufa tu kwa njaa hawana supply yoyote ya chakula maji wala silaha wanatakiwa kujisalimisha au kufa njaa
Kursk ni eneo la kilimu.Maembe na mafenesi watakula lakini mwishowe njio ya kutokea itakuwa imezibwa yote.
 
Sasa hao waukraine waliopo kursk wanafanya nini si watakufa tu kwa njaa hawana supply yoyote ya chakula maji wala silaha wanatakiwa kujisalimisha au kufa njaa
Wana muda gani hawana hayo mahitaji?
 
Russia naye angeangaika kuikomboa kursk mtu anavamia kwako kumtoa kazi ,alafu unaleta propaganda unasonga mbele labda kusonga ugali
Puttin akili nyingi hao jamaa wameingia Kursk lakini silaha walizoingia nazo watatumia mpk zitaisha njia zote walizotumia kuingilia hazitumiki Tena hakuna logistics za kuwapelekea silaha na chakula watakufa kimya kimya ndio maana husikii Sasa hv habari zao
 
Back
Top Bottom