Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini?
Kwa kweli nmekosa nimjibu nini huyu jamaa fala kabisa. Hataki kuchanjwa na wakati namwona mwilini ana chale kibao tu.
Nimemwambia aache ujinga aende akachanjwe. Kagoma kabisa.anasema ashagundua mchezo ulivyo.
Mimi nimemsisitizia akachanjwe aache mawazo yake hayo. Akachanjwe tujue moja. Waziri wa afya kasema kuna Watanzania million moja wanaitaka chanjo hiyo. Huyu dogo anapinga yeye ni nani? Na machale yote aliyonayo mwilini anawezaje kataa chanjo?
Nendeni mkachanjwe msitake kufa.