#COVID19 Wacheni wengine tufe. Mbona mnatulazimisha kuchanjwa wote?

#COVID19 Wacheni wengine tufe. Mbona mnatulazimisha kuchanjwa wote?

Kama ingekuwa sawa je,kukataa kuwa sehemu ya jaribio ambalo lingepelekea kupatikana unachokiita bado kipokwenye majaribio,unadhani mini kingetokea.vipi kuhusu wanaojitolea kuwa sehemu ya jaribio la kwanza?
Mkuu chanjo zote za Covid zipo kwenye majaribio, zilianza kutolewa kwa watu kama dharura ya kukabiliana na kasi ya kuenea kwa corona...effectiveness ya kila chanjo hadi sasa angalau imejulikana na bado wanaotengeneza hizo chanjo wangali wapo maabara

Sasa sijui hayo maswali mengine wauliza kwa mantiki ipi?
 
Na chanjo yao feki[emoji116]
 
Na wewe pia usisahau please.
Mimi kwa sasa mpango huo sina, labda baadaye sana wakato hi ukiwa tayari ukishakufa miongo kadhaa, minne au mitano hivi. Wewe naona uko na hamu sana ya kufa muda huu hasa kwenye kipindi hiki cha CORONA. Wewe kufa kivyako na tunakutakia kila la kheri, isipokuwa tu usiwalazimishe tena na wengine ambao kwa sasa hawana mpango huo.
 
Na wewe unaamini utaishi ? Acha kuwalaZimisha watu kuchomwa na wakati hata huko juu watu mpaka wanaahidiwa kulipwa ili wachome. Kila mtu awe na haki yake ya kimsingi
 
Angalau basi ingekuwa inakinga kweli!
Unaambiwa kwamba ukipata madhara hawahusiki na inabidi usaini kabisa kukubali hilo, pia wanasema ukichanjwa endelea kuchukua tahadhari maana bado utaweza kuambukizwa, kuugua na kufariki. Sasa niambie, nani mwenye akili timamu atachanja?
 
Back
Top Bottom