Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Toa De lima weka JJ Okocha
Toa Gaucho weka Aguero
Toa Henry weka De Maria

Hivi weye Okocha ulimuona mchezaji wa Maana mpaka kuwemo katika wachezaji bora wa Dunia?

Fikra kama hizo huwezi kuzipata popote pengine zaidi ya kwa Muafrica
 
Majibu sahihi najua umeyapata ila unajifanya hujui kumbe unajua vizuri tu.....haya jibu na haya...Messi yule analishwa na golden twins xavi na iniesta na huyu wa sasa unawazungumziaje?.....kwa nini wenzake wanahama kwenda kufanya maajabu kwingineko ilhali yeye kang'ang'ania pale pale?
 
Huo mtandao unatungwa na watu kama mimi, pia hayo ni maoni yao

Kwa FIFA Pele ndio kila kitu, akifatiwa na maradona.

Hao for for two ni watu kama wewe na maoni yao

Utamkubali vipi mtu ambae hujawai kumshuhudia live!! Nikikuuliza utaniambia umemcheki youtube.

Waswahili tuna safari ndefu sana.
 
Kwenye hiyo orodha kuna mchezaji ushamuona live uwanjani anacheza? Kama umewaona kupitia DStv live steaming basi huna tofauti na anayeangalia documentary za Pele na Maradona Youtube.
Utamkubali vipi mtu ambae hujawai kumshuhudia live!! Nikikuuliza utaniambia umemcheki youtube.

Waswahili tuna safari ndefu sana.
 
Sio kweli Argentina haijawa na kocha mmoja tu zama hizi za messi haiwezekani wote waite kikosi kibaya au wapange ovyo ili timu ikose vikombe
Timu inafika hadi fainal copa america mchezaji anapaisha penati (mnazi) kwahiyo tumlaumu kocha kwanini alimpanga apige tuta??
 
Mkuu tuweke porojo pembeni, hayo mafanikio tuweke kando kwanza mie binafsi napenda kumjaji mtu kwa kile anachokifanya mchezaji uwanjani..

Swali fupi.
Katika miaka 25 ni nani unaona uwanjani anaupiga mwingi kushinda ule wa andunje messi
Hizo achievment anazoziongelea jamaa zina mfavor sana giroud. Unajua ukishamchukia mtu lazima umtafutie sababu tu.
 
Sasa kamzid kisa umeona hako kalist au?
Ndani ya hiyo miaka 9 Ronaldo akiwa la liga kabeba uefa ngapi na Messi kabeba ngapi?
Ndani ya hiyo miaka 9 Messi kashinda taji gani na timu yake ya taifa compared na Ronaldo
Halafu unaposema individuals trophies huku hajawahi vaa uzi mwengne tofauti na wa Barca na akivaa mwengine basi ni wa Argentina ambako hana hata kikombe cha kuku halafu unasema anaongoza magoli mengi kufunga national team, jiulize anafunga wakati gani? why awe na magoli mengi argentina with no trophy?
 
Kwenye hiyo orodha kuna mchezaji ushamuona live uwanjani anacheza? Kama umewaona kupitia DStv live steaming basi huna tofauti na anayeangalia documentary za Pele na Maradona Youtube.

Wote nimewashuhudia Live isipokuwa Eric Cantona. Navosema live simaanishi kuketi uwanjani na kuwatazama. Elewa basi mkuu.
 
Sasa unasema kawabeba wakina nani? yeye sio muargentina? sote tuliona performance ya ovyo aliyoonyesha worldcup 2018 wala hakuna alichofanya cha kufanya tumsifie yeye tuwalaumu wenzake wote uwezo wao uliendana na ulikuwa wa ovyo hadi kupelekea timu kuingia 16 bora kwa mbinde na kutolewa pia kwa aibu
 
Wamehama kwenda kufanya maajabu wapi? Are you serious? Hivi hizi comment mnaziandika mkiwa katika hari gani?
 
Hivi weye Okocha ulimuona mchezaji wa Maana mpaka kuwemo katika wachezaji bora wa Dunia?

Fikra kama hizo huwezi kuzipata popote pengine zaidi ya kwa Muafrica
Okocha Hana tofauti na shomali kapombe tu
 
Mtoepo umempeleke Kwa mama ako
 
Kushinda magoli 91 ktk kalenda ya mwka ni kipaji sio pele wala jorge weah walioweza huyo Ronaldo kaitwa goal machine ila ht magoli 70 kashindwa kufikisha kwa mwaka.kushinda tribble 3 sio masihara pia kaka wakina pele na wengineo wameshindwa.
 
Upuuzi tu umeandika hauna tofauti na spika ndugai
 
Sio km messi mchango wake haujaonekana unakosea ukisema hvyo ila team mates ndio wanamlet down angalia asilimia 90 ya magoli ya messi ndio yanaitambisha barca ukitoa magoli ya messi hata hatua ya makundi barca asingepita uefa halaf embu fikiria uplay maker wa messi angekua man city unadhan UEFA ingeenda wapi
 
Upuuzi tu umeandika hauna tofauti na spika ndugai
Ronaldo hawez fanya aliodanya messi ktk team especially ya club Ronaldo ni mmaliziaji yan mlishwaji lakn messi ni mtengenezaji yan play maker kingine nachomwona Ronaldo bwege kaanza kucheza miaka miwili kabla ya messi lakn kiujumla ana uwiano sawa wa magoli na messi wote mia sita naa sasa jiulize messi angeanza saw na cr7 angekua ana magoli mangapi messi is messi ndugu.
 

Messi huyu kapungua makali kidogo, umri umesogea kacheza kwenye peak yake kwa muda mrefu, hata kina gaucho na wenzie ilikuwa hvyo walishuka viwango, japo messi huyu sio yule lakin bado kwenye chati anawakimbiza wote sasa jiulize iko vipi hapo.

Kuhama timu ama ligi si sababu, kwenye hiyo listi yupo paolo maldini,ryan gigss, xavi,iniesta na busquet! Hawa hawakuhama timu kwenda kuthibitisha ubora wao kwenye ligi nyingine, kwenye listi yupo ricardo kaka ambae ubora wake kauonesha akiwa ac milan tu kwa miaka isiozidi 6-8 na kwenda kufeli madrid. Sasa huyu messi mwaka wa ngapi huu yupo kwenye peak tu
Guardiola mlisema hvyo hvyo!! Ooh! Aje uingereza akutane na kina stoke city!! Sijui monday night! Kiko wapi kapiga back to back epl, kaweka rekod ya kunyakua vikombe vi3 vya ndan kwa msimu m1

Anaejua anajua tu. Gwiji wa soka wa madrid di stefano ni madrid ndio ilimuweka kwenye ramani hakuna cha maana alichokifanya national tram lakin nae ni moja kati ya wachezaji bora wa soka wa muda wote.
 
Ndio maana nikasema messi kawapeleka argentina fainali 3, wakakosa bahati tu, je wangenyskuwa mngemuita failure!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…