Toa De lima weka JJ Okocha
Toa Gaucho weka Aguero
Toa Henry weka De Maria
Hivi weye Okocha ulimuona mchezaji wa Maana mpaka kuwemo katika wachezaji bora wa Dunia?
Fikra kama hizo huwezi kuzipata popote pengine zaidi ya kwa Muafrica
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa De lima weka JJ Okocha
Toa Gaucho weka Aguero
Toa Henry weka De Maria
Maradona hakuwa pekee yake alikuwa na jorge valdano kina burruchaga na wengineo
Nimegundua ww kinachokukwaza!! Timu sio aguero, eti messi, higuain, dimaria sijui nani, timu ni muuganiko, lazima kuwe na chemistry nzuri, tizama kilichomkuta Germany na timu yake nzuri 2018, ufaransa 2002, spain 2014 na 2018, hawa katika miaka hyo walikosa nini hasa!!
Hiyo moja..
Pili messi kinachomkosesha heshima ni mechi 3 km sio 4, nazo ni fainali ya 2014, na zile game mbili mfulizo za copa america hebu fikiria argentina angebeba hayo makombe messi saizi mnhekuwa mnamuimba hapa ila kayakosa mnasema hajafanya chochote, jiulize katika mshindano hayo hakuupiga mwingi!?
Jibu baki nalo mwenywe
Noti:komenti hii ni kwa hisani ya futari.
Huo mtandao unatungwa na watu kama mimi, pia hayo ni maoni yao
Kwa FIFA Pele ndio kila kitu, akifatiwa na maradona.
Hao for for two ni watu kama wewe na maoni yao
Utamkubali vipi mtu ambae hujawai kumshuhudia live!! Nikikuuliza utaniambia umemcheki youtube.
Waswahili tuna safari ndefu sana.
Sio kweli Argentina haijawa na kocha mmoja tu zama hizi za messi haiwezekani wote waite kikosi kibaya au wapange ovyo ili timu ikose vikombeHaya ni mambo ambayo hayana nguvu saana, hata kama kacheza timu moja still uwezo wake uwanjani umeonekana!! De lima na ufundi wake wote ucl ameisikia kwenye redio tu, George opong weah!! Muafrika pekee mwenye tuzo ya mchezaji bora wa dunia kombe la afrika tu kaishia kuliona kwa tv!!
Mpira c mchezo wa mtu m1 mkuu, ulitegemea messi afanye nini km kocha national team anaita kikosi kibovu mara, apange hovyo..
Hata kina pele,kina maradona na wengineo hawakufanya maajabu pekee yao
Kwangu messi ataendelea kuwa bora kwa ule mchezo safu aliopata kuonesha!!
Hizo achievment anazoziongelea jamaa zina mfavor sana giroud. Unajua ukishamchukia mtu lazima umtafutie sababu tu.Mkuu tuweke porojo pembeni, hayo mafanikio tuweke kando kwanza mie binafsi napenda kumjaji mtu kwa kile anachokifanya mchezaji uwanjani..
Swali fupi.
Katika miaka 25 ni nani unaona uwanjani anaupiga mwingi kushinda ule wa andunje messi
Sasa kamzid kisa umeona hako kalist au?watu majeuri tu hakuna mchezaji anamzid Mess individual awards, yan hayupo wanasahau kwamba hata huyo ronaldo kaenda spain kaupiga ten years lakin combe la spain kauchukua mara mbili tu muda wote huwa Messi kadominate, ujue hapo watu wanahate sababu Messi namba moja Ronaldo namba mbili, basi tu huwa hawataki amzid ronaldo ila ndio kamzid sasa wafanyaje wanaanza kuhate
Kwenye hiyo orodha kuna mchezaji ushamuona live uwanjani anacheza? Kama umewaona kupitia DStv live steaming basi huna tofauti na anayeangalia documentary za Pele na Maradona Youtube.
Sasa unasema kawabeba wakina nani? yeye sio muargentina? sote tuliona performance ya ovyo aliyoonyesha worldcup 2018 wala hakuna alichofanya cha kufanya tumsifie yeye tuwalaumu wenzake wote uwezo wao uliendana na ulikuwa wa ovyo hadi kupelekea timu kuingia 16 bora kwa mbinde na kutolewa pia kwa aibuKote kote..
Najua we umelenga national team
Kapitie rekod zake national team..
Kawabeba waargentina lakin hawajabebeka, kombe la dunia 2018 kawababeba kwenye mabega yake kawapeleka kilichotokea ni hadithi kocha kafanya matipu tu, mafanikio ya team si mchezaji mmoja.. Kuna kipindi hata barca kocha anawaangusha, argentina wana tatizo jingine lakini sio messi kusema haupigi mwingi kule, akicheza vizuri wanamuimba timu ikifeli wanamkataa ni kama ozil na wajeruman akicheza vizur mjeruman, timu ikifeli ooohh, mturuki.
Kawapeleka fainal ya kombe la dunia mara moja
Copa america huko amecheza fainali 3 ile ya venezuela 2007 na hizi mbili mfululiz wanakufa kwa penati kwa vijan wa chile.
Rekod ya magoli si haba goli 65 kati games 129 hapo ana wastani wa kufunga goli moja katika kila mechi 2
Kifupi messi kaupiga mwingi kote ila timu ya taifa hajapata mafanikio, ubora na kunyanyua kombe ni vitu viwili tofauti.
Wamehama kwenda kufanya maajabu wapi? Are you serious? Hivi hizi comment mnaziandika mkiwa katika hari gani?Majibu sahihi najua umeyapata ila unajifanya hujui kumbe unajua vizuri tu.....haya jibu na haya...Messi yule analishwa na golden twins xavi na iniesta na huyu wa sasa unawazungumziaje?.....kwa nini wenzake wanahama kwenda kufanya maajabu kwingineko ilhali yeye kang'ang'ania pale pale?
Mtoepo umempeleke Kwa mama akoMajibu sahihi najua umeyapata ila unajifanya hujui kumbe unajua vizuri tu.....haya jibu na haya...Messi yule analishwa na golden twins xavi na iniesta na huyu wa sasa unawazungumziaje?.....kwa nini wenzake wanahama kwenda kufanya maajabu kwingineko ilhali yeye kang'ang'ania pale pale?
Upuuzi tu umeandika hauna tofauti na spika ndugaiSasa kamzid kisa umeona hako kalist au?
Ndani ya hiyo miaka 9 Ronaldo akiwa la liga kabeba uefa ngapi na Messi kabeba ngapi?
Ndani ya hiyo miaka 9 Messi kashinda taji gani na timu yake ya taifa compared na Ronaldo
Halafu unaposema individuals trophies huku hajawahi vaa uzi mwengne tofauti na wa Barca na akivaa mwengine basi ni wa Argentina ambako hana hata kikombe cha kuku halafu unasema anaongoza magoli mengi kufunga national team, jiulize anafunga wakati gani? why awe na magoli mengi argentina with no trophy?
Ronaldo hawez fanya aliodanya messi ktk team especially ya club Ronaldo ni mmaliziaji yan mlishwaji lakn messi ni mtengenezaji yan play maker kingine nachomwona Ronaldo bwege kaanza kucheza miaka miwili kabla ya messi lakn kiujumla ana uwiano sawa wa magoli na messi wote mia sita naa sasa jiulize messi angeanza saw na cr7 angekua ana magoli mangapi messi is messi ndugu.Upuuzi tu umeandika hauna tofauti na spika ndugai
Majibu sahihi najua umeyapata ila unajifanya hujui kumbe unajua vizuri tu.....haya jibu na haya...Messi yule analishwa na golden twins xavi na iniesta na huyu wa sasa unawazungumziaje?.....kwa nini wenzake wanahama kwenda kufanya maajabu kwingineko ilhali yeye kang'ang'ania pale pale?
Ndio maana nikasema messi kawapeleka argentina fainali 3, wakakosa bahati tu, je wangenyskuwa mngemuita failure!!?Sio kweli Argentina haijawa na kocha mmoja tu zama hizi za messi haiwezekani wote waite kikosi kibaya au wapange ovyo ili timu ikose vikombe
Timu inafika hadi fainal copa america mchezaji anapaisha penati (mnazi) kwahiyo tumlaumu kocha kwanini alimpanga apige tuta??