Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Alikuwa mzuri lakini sio kuingia kwenye top ten.Juan Roman Riquelme
Hawezi kumfikia mshindi wa ballon d'or saba.Huku ni kumkosea heshima EDINSON ARANTES DO NASCIMENTO.
Bila huyo list haiwezi kukamilika.Kwa vile LA puga yupo,sina neno
Rivaldo alikuwa mchezaji mzuri sana ila sasa kwenye top ten anazidiwa na wenzake.Fundi Rivaldo anakosaje hapo?
Achana na hizo tuzo za mchongo ukweli utabaki kuwa" EDINSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE) NDIE MCHEZAJI WA KANDANDA BORA KUWAHI KUTOKEA ULIMWENGUNI.Hawezi kumfikia mshindi wa ballon d'or saba.
Kwa maoni yangu Messi anabaki kuwa special case linapokuja suala la mpira wa miguu. Amedumu katika ubora kwa miaka mingi sana.Achana na hizo tuzo za mchongo ukweli utabaki kuwa" EDINSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE) NDIE MCHEZAJI WA KANDANDA BORA KUWAHI KUTOKEA ULIMWENGUNI.
hazi video fupi tunazoziona ni 1/10 ya vitu alivyovifanya kwenye kandanda.
Messi ameweza kuvuma katika kipindi ambacho mpira una sheria nyingi pamoja na regulation kubwa.Yaani Messi amzidi Pelle? unafta laana ya bure
View attachment 2340828
Socrates yupo hapo.. kempes asubiri kwanza 😂Mario Kempes
Socrates
jipe assignment uka angalie documentary ya Pelle utafuta kauli yakoMessi ameweza kuvuma katika kipindi ambacho mpira una sheria nyingi pamoja na regulation kubwa.
mleta mada na list yake ya mchongo.
messi anakaaje juu ya pele na maradona?
ronaldinho anakaaje juu ya romario na ronaldo?
hivi umewahi kumsikia revalinho?