Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Achana na hizo tuzo za mchongo ukweli utabaki kuwa" EDINSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE) NDIE MCHEZAJI WA KANDANDA BORA KUWAHI KUTOKEA ULIMWENGUNI.

hazi video fupi tunazoziona ni 1/10 ya vitu alivyovifanya kwenye kandanda.
Kwa maoni yangu Messi anabaki kuwa special case linapokuja suala la mpira wa miguu. Amedumu katika ubora kwa miaka mingi sana.
 
Back
Top Bottom