Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Balloon d'o za mchongo hadi Messi mwenyewe alikiri mwaka jana kuwa Lewandosky ndiye aliyekuwa anastahili hiyo tuzo lakini kashangaa sana kwanini apewe yeye na alimwomba msamaha Lewandosky kuwa hana namna inabidi aichukue tu [emoji23]

Hujiulizi kwanini hiyo tuzo ya balloon d'o 2022 alipewa Messi lakini FIFA ilimtangaza Lewandosky mchezaji bora wa duniani ambapo haijawahi tokea kamwe [emoji848][emoji28]
 
Balloon d'o za mchongo hadi Messi mwenyewe alikiri mwaka jana kuwa Lewandosky ndiye aliyekuwa anastahili hiyo tuzo lakini kashangaa sana kwanini apewe yeye na alimwomba msamaha Lewandosky kuwa hana namna inabidi aichukue tu
Naomba ushahidi wa hili.. weka statistics za Messi na Lewandowski kwa mwaka jana tufananishe.
 
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Messi kunuweka namba moja List imekuwa batili
 

ballon saba ndio nini wakati umeshindwa kubeba world cup?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ