ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Vigezo gani zaidi ya kujua mpiraWeka hapa vigezo vyako kuhusu Okocha ili alinganishwe na wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo gani zaidi ya kujua mpiraWeka hapa vigezo vyako kuhusu Okocha ili alinganishwe na wengine.
😂😂Vigezo gani zaidi ya kujua mpira
Kwa maelezo yako haya basi Okocha ni failure na hivyo hastahili chochote kwasababu hana mafanikio kwenye soka.Inaonekana bado hujui ubora ni nini.Kama ni vikombe na tuzo za dunia ata oliver giruu wa ufaransa anavyo uku mane au salah hawatakaa wavipate pamoja nakwamba kwenye list yako wapo.Mambo ya kupata vikombe na tuzo bado sio kigezo cha uwezo wa mchezaji.hayo yanaitwa MAFANIKIO ya mchezaji.mafanikio na uwezo ni vitu tofauti kabisa.kwasababu unaweza kua na uwezo usipate mafanikio na unaweza kua na mafanikio bila kua na uwezo.
Naomba nikuache mkuu kwasababu kama unaweza kuwafananisha hao wachezaji wa epl na hawa wa nbc league basi hatutaweza kufikia muafaka.Usajili wa mchezaji una mambo mengi.Nikama ambavyo pamoja na uwezo wa messi bado hawezi kuja kusajiliwa simba au yanga na kinyume chake.Kwa mfano rahisi Maguire wa Man United anakiwango gani chakumzidi Dickson job wa yanga?.Fred wa Man U anakiwango gani chakumzidi Chama wa simba?.Sasa chukua hiyo mifano michache alafu isambaze kwenye timu zote kubwa unazozijua uko ulaya alafu jiulize lile swali lako ukilinganisha na wachezaji wetu wa kiafrika wanaocheza afrika na viwango vyao dhidi ya hao wanaocheza timu kubwa ulaya.
Tufahamishe tuzo walizonazo.Aboutrika alikua na mustafa hadji walikua mashine ya kazi, sema tu kwakua ni waarabu hawazungumziwi sana huku.
Hatuwezi kufikia muafaka kwasababu umesahau hata mfano ulioanza kuuzungumza wewe mwenyewe hapo juu.Kwaheri.Naomba nikuache mkuu kwasababu kama unaweza kuwafananisha hao wachezaji wa epl na hawa wa nbc league basi hatutaweza kufikia muafaka.
Tufahamishe tuzo walizonazo.
Honours
| ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| *Club domestic league appearances and goals |
| *Club domestic league appearances and goals Honours and achievements Edit Al Ahly Egyptian Premier League: 2004–05, 2005–06, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2009–10, 2010–11 Egypt Cup: 2006, 2007 Egyptian Super Cup: 2005, 2006, 2007, 2008, 2010 CAF Champions League: 2005, 2006, 2008, 2012, 2013 CAF Super Cup: 2006, 2007, 2009, 2013 Baniyas SC GCC Champions League: 2012–13 Egypt African Cup of Nations: 2006, 2008 Nile Basin Tournament: 2011 Awards Edit EFA Egyptian Player of the Year: 2005, 2006, 2007, 2008 African Inter-Club Player of the Year: 2006,[36] 2008,[36] 2012,[37] 2013 CAF Team of the Year: 2006, 2008, 2012, 2013 Africa Cup of Nations Dream Team: 2006, 2008 World's Most Popular Footballer: 2007,[38] 2008[39] El Heddaf Arab Footballer of the Year: 2007, 2008, 2012 Al Mountakhab Arab Footballer of the Year: 2008 BBC African Footballer of the Year: 2008[40] 2008 Africa Cup of Nations Final: Man of the Match FIFA Confederations Cup Dream Team: 2009[41] Goal 50: 2009,[42] 2013[16] IFFHS Legends: 2016[43] Orders Edit Order of the Republic (Egypt) Performances Edit Egyptian Second Division top goalscorer: 1999–00 Egyptian Premier League top goalscorer: 2005–06 CAF Champions League top goalscorer: 2006 FIFA Club World Cup top goalscorer: 2006 Egypt Cup top goalscorer: 2007 FIFA Confederations Cup top assist provider: 2009 (Shared with Elano, Maicon and Joan Capdevila) FIFA World Cup qualification top goalscorer: 2014 (Shared with Mohamed Salah and Asamoah Gyan)[44] Records African Inter-Club Player of the Year (Based in Africa): 2006, 2008, 2012–13[36][37] |
Kwanini hawakupewa tuzo za wanasoka bora Africa kipindi wanabeba hayo makombe?
Honours
Men's football Representing Egypt![]()
Africa Cup of Nations Winner 2006 Egypt Winner 2008 Ghana *Club domestic league appearances and goals
*Club domestic league appearances and goals
Honours and achievements
Edit
Al Ahly
Egyptian Premier League: 2004–05, 2005–06, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2009–10, 2010–11
Egypt Cup: 2006, 2007
Egyptian Super Cup: 2005, 2006, 2007, 2008, 2010
CAF Champions League: 2005, 2006, 2008, 2012, 2013
CAF Super Cup: 2006, 2007, 2009, 2013
Baniyas SC
GCC Champions League: 2012–13
Egypt
African Cup of Nations: 2006, 2008
Nile Basin Tournament: 2011
Awards
Edit
EFA Egyptian Player of the Year: 2005, 2006, 2007, 2008
African Inter-Club Player of the Year: 2006,[36] 2008,[36] 2012,[37] 2013
CAF Team of the Year: 2006, 2008, 2012, 2013
Africa Cup of Nations Dream Team: 2006, 2008
World's Most Popular Footballer: 2007,[38] 2008[39]
El Heddaf Arab Footballer of the Year: 2007, 2008, 2012
Al Mountakhab Arab Footballer of the Year: 2008
BBC African Footballer of the Year: 2008[40]
2008 Africa Cup of Nations Final: Man of the Match
FIFA Confederations Cup Dream Team: 2009[41]
Goal 50: 2009,[42] 2013[16]
IFFHS Legends: 2016[43]
Orders
Edit
Order of the Republic (Egypt)
Performances
Edit
Egyptian Second Division top goalscorer: 1999–00
Egyptian Premier League top goalscorer: 2005–06
CAF Champions League top goalscorer: 2006
FIFA Club World Cup top goalscorer: 2006
Egypt Cup top goalscorer: 2007
FIFA Confederations Cup top assist provider: 2009 (Shared with Elano, Maicon and Joan Capdevila)
FIFA World Cup qualification top goalscorer: 2014 (Shared with Mohamed Salah and Asamoah Gyan)[44]
Records
African Inter-Club Player of the Year (Based in Africa): 2006, 2008, 2012–13[36][37]
Wanakuchanganya wanaotohoa "G. O. T" Kwenda kwenye kiswahili, Great of all time ni "notion" kwa maana yakumkusudia huyo muhusika katika uhai wake wa tasnia/fani husika, hivyo usichanganyikiwe kuona Pele ni G. O. T na bado maisha yanaendalea, ni sawasawa na wale wanaotafasiri neno "at the end of the day" kwa kiswahili "mwisho wa siku".. Hao ni bora kwa Wakati wote wa maisha yao ya mpira haijalishi watakuja wengine au laa, na hata wakija wengineo bado hawatavuliwa huyo muandishi kadhalika amechangia kukuchanganyaHili neno nahisi linatumika vibaya 'NYAKATI au WAKATI WOTE' kwanini tusitumie mpaka sasa sababu maisha yanakwenda na mitazamo hubadilika
Lile bao alilomfunga oliver kahn mpaka leo ndio bao bora kuwahi kutokea kwenye ligi ya bundesligA...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ngoja nijaribu kwa ufupi sababu nina mambo yananizonga na kuandika saana ni mizuka tu huwa inakuja
Iko hivi okocha alikuwa anacheza kwao huko ENUGU RANGERS, mwaka 90 hivi akaenda zake ujerumani kumtembelea rafiki yake aliyekuwa anacheza timu ya ligi daraja la 3 ilikuwa inaitwa BORRUSIA nini sijui.. [emoji23] [emoji23] Asubuhi moja alienda na mwanae kupasha huko, kocha kumuona okocha akamuelewa, Unaambiwa ni touches kadhaa tu kocha akamuelewa okocha, akala shavu hakukaa sana akasajiliw na klabu nyingine, huko hakukaa saana FRANKFURT wakamtwaa alikuwa na kina TONH YEBOAH, hapo akakinukisha kweli kweli akamfunga OLIVER KAHN goli la kideo, magoli ya chama, unamfunga kipa na mabeki wake, ni alipinda na kupindua ndani ya box kisha akazaja mpira kimiani, kama sikosei ndio likawa goli bora la msimu, fenerbahce wakamuona wakaweka mezani pauni kama milioni moja hivi wakambeba akaenda kuupiga mwingi uturuki kiasi wakampa uraia wa heshima.. Kabla psg kutoa pauni milioni 14(ya kipindi hicho kumbeba fundi wa kinaijeria) dau hili nahisi ndio ikikuwa mchezaji ghalii zaidi wa kiafrika kipindi hiko, km data zangu ziko sawa sawia.
kabla ya kwenda bolton huko aliupiga mwingi mnoo bolton ya kina OCAMPOS
Okocha ni mtu na nusu, ukisikia dinho anasema kajifunza vitu kwa okocha hapo akili lazima ikutulie kwanza.