Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Patrick Mboma- Cameroon unamjua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namjua sana ila ndio hivyo tena kwenye top ten vigezo havijafikia.. hata Diouf naye ameshindwa kuingia maana kazidiwa na wengine.Patrick Mboma- Cameroon unamjua?
Ilibidi kila kigezo kiwe na pointi, utaona etoo kamuacha mbali mheshimiwa George opong weah.Etoo kazidiwa na George Weah tuzo muhimu sana ya ballon d'or ambayo inamfanya awe unique mno.
Je Michael essien aliwahi shinda hiyo tuzo ya mchezaji bora afrika?Kweli kabisa, alikuwa na kipaji lakini hakuwa na mafanikio kwasababu hata kipindi yupo kwenye peak bado walioshinda tuzo ya mchezaji bora Africa walikuwa wengine.
Yupo kwenye list pamoja na Morrison.Kijana wetu Mbwana Samatta hayumo kwenye kumi bora? [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijui cho chote kuhusu soka lakini kwa vile huyu Okocha anapiganiwa sana na wadau basi hata mimi nasema orodha yako ni batili bila mchawi wa soka Jay Jay Okocha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kila unachokifanya lazima kiwe ni kitu kinachoweza kupimwa. Ukitoka mpirani watu huuliza magoli yaliyofungwa au point ulizopata. Hakuna anayeuliza chenga zilizopigwa. Ila chenga zinabaki tu kama kipengele Cha kujiliwaza na hasa kama hukupata matokeo.Kwa hiyo ukienda kuangalia mpira, then siku hiyo usishuhydie magoli yakifungwa, huwa una-enjoy nini pale uwanjani?.
Ukipata majibu ndo utajua mpira sio magoli pekee au ushindi kwa timu husika kuna vingine zaidi ya hivyo.
Leo hii mtu kama Zidane hata Olivier Giroud hampati kwa magoli lakini huwezi sema Guriud ni bora kuliko Zidane.
Nitaendelea kuamini kuwa Okocha na Gaucho ndo wachezaji wangu bora wa muda wote mpaka sasa labda aje mwingine huko mbeleni.
Hao wengine mnaowasifia ni wafungaji bora ila sio wachezaji bora.
Kwa standard za kibongo bongo zisizohitaji makombe Okocha ni nambari one ila siyo Kwa timu zenye malengo. Na ndo maana aliishia kucheza timu za hovyo hovyo tofauti na wenzake. Kanu Kwa mfano, Ajax ya wakati ule, Arsenal ya wakati ule, Inter Milan. Wakati Okocha na michenga yake yote alicheza Bolton, Uturuki, psg ya wakati ule isiyokuwa na lolote.Hujamweka Okocha? Hapo hamna kitu.achana na hii list kabisa. Kocha alikuwa anafundisha vizuri ndo hao wachezaji wanafanya vizuri ulitakiwa umweke na Kocha kama wengi wanavyosema.
Kwenye ulimwengu wa soka tunafahamu maana ya ballon d'or. Huyu ndio mwafrika pekee amebeba mpaka sasa. Lakini pia Weah kashinda tuzo ya FIFA, kabeba makombe ligi tano na vingine kibao ambavyo vinamfanya kuwa juu ya wote.Ilibidi kila kigezo kiwe na pointi, utaona etoo kamuacha mbali mheshimiwa George opong weah.
Huyu ni mchezaji ambaye ilibidi nimfanyie tathmini sana. Nakupa vigezo hapa chini halafu wewe uniambie kama hao wengine wanamkaribia:Je Michael essien aliwahi shinda hiyo tuzo ya mchezaji bora afrika
Hapa umepiga utosini mkuu. Yaani umemaliza.Kwa standard za kibongo bongo zisizohitaji makombe Okocha ni nambari one ila siyo Kwa timu zenye malengo. Na ndo maana aliishia kucheza timu za hovyo hovyo tofauti na wenzake. Kanu Kwa mfano, Ajax ya wakati ule, Arsenal ya wakati ule, Inter Milan. Wakati Okocha na michenga yake yote alicheza Bolton, Uturuki, psg ya wakati ule isiyokuwa na lolote.
Ni kweli amejitahidi na alikuwepo kwenye list lakini wenzake wamemzidi vigezo kwenye kuingia top ten.Mohamed Aboutrika- Egypt / Al Ahly, amebeba kombe la Africa mara 3 mfululizo, nadhani ni rekodi kubwa na ya pekee pia ameshinda CAF club champions mara kadhaa na Al - Ahly.
Weka hapa vigezo vyako kuhusu Okocha ili alinganishwe na wengine.Umemkosea heshima Okocha
Acheni kumfananisha gaucho na okocha. Gaucho ana world cup, ballon d'or, Uefa champions league, la liga, seria a etc.. tutajieni mafanikio ya Okocha ili alinganishwe na wengine.Okocha huyu aliyetaka kuwavunja nyonga wazungu hayumo?
Jamaa ndy muanzilishi wa chenga za kuvunja nyonga beki pinzani.
Okocha ndy Gaucho wa Africa.
Dinho nyoko bwana ta his primeNaungana na mtoa uzi,ubora wa mchezaji unapimwa kwa mafanikio yake kwenye timu zake,kama skills zako hazisaidii kuleta mafanikio kwenye timu ubora wako hauwezi kuonekana.
Japo wengi mnadai Gaucho amejifunza kwa Okocha ila mtambue kuwa hata Gaucho anaonekana bora ni kwasababu sklls zake zimeleta mafanikio kwenye club na timu ya taifa otherwise Okocha anabaki kwenye history ya kuwa skilled kama alivyo Dua Said.
Nikumbushe Mwaka gani huo essien alikuwa mchezaji bora afrika? 🤔Kwenye ulimwengu wa soka tunafahamu maana ya ballon d'or. Huyu ndio mwafrika pekee amebeba mpaka sasa. Lakini pia Weah kashinda tuzo ya FIFA, kabeba makombe ligi tano na vingine kibao ambavyo vinamfanya kuwa juu ya wote.
Huyu ni mchezaji ambaye ilibidi nimfanyie tathmini sana. Nakupa vigezo hapa chini halafu wewe uniambie kama hao wengine wanamkaribia:
Essien amebeba Uefa champions league mara moja, amechukua ubingwa ligi kuu ya Uingereza na ufaransa mara mbili kwa kila ligi akiwa key player na amechukua FA cup mara nne
Amekuwepo kwenye tuzo za Afrika mara tano mfululizo, mara moja akiwa mshindi wa pili na mara nne akiwa mshindi wa tatu. Hii inaitwa consistency.
Amekuwa mchezaji bora Ufaransa mara moja, amekuwa mchezaji bora wa Chelsea mara moja, amepewa BBC tuzo ya mchezaji bora Africa mara moja,
Hivyo Essien amekuwa na mafanikio binafsi na kwenye timu mara nyingi kuliko washindani wengine ambao alifananishwa nao akiwemo Okocha, Mboma na Diouf.
Rudia kusoma naona uko faster mno.. hamna sehemu nimeandika hivyo.Nikumbushe Mwaka gani huo essien alikuwa mchezaji bora afrika? 🤔