Wachezaji kumi bora wa Afrika mpaka sasa

Katika list uloweka hapo ukiniamsha usingizini ukasema mchezaji yupi unaemkumbuka wa afrika enzi hizo when fotball was called footbal atakayekuja haraka haraka ni Mnyama Jay Jay Okocha..

That Nigga was one of a kind in his fotball era....! kipindi cha kina zizou, gaucho, ronaldo the original, Joninnho penambucano, lous figo Jamani enzi hizo mpira ulikua buruduni daah..kulikua na watu wana talent ya footbal wamezaliwa nazo sio sahizi wanajifunzia ukubwan watu wapige hela tu
 
Ndugu mwandishi kwahiyo unataka kusema ule msemo wa kufungwa twafungwa lakini chenga twawala umemuondoa okocha kwenye list!

That nigga fotball was in the blood stream he was born with the talent! mpira sio kuleta vikombe tu ni entertainment...kwani zinedine, gaucho walipendwa sababu waliweza kutu entertain..
Mkuu gaucho anatajwa kama entertainer mzuri lakini wanasahau kwamba amebeba ballon d'or, world cup, ucl, fifa and uefa player of the year etc.. sasa waweke na mafanikio ya Okocha tuone.
 
Katika list uloweka hapo ukiniamsha usingizini ukasema mchezaji yupi unaemkumbuka wa afrika enzi hizo when fotball was called footbal atakayekuja haraka haraka ni Mnyama Jay Jay Okocha..

That Nigga was one of a kind in his fotball era....! kipindi cha kina zizou, gaucho, ronaldo the original, Joninnho penambucano, lous figo Jamani enzi hizo mpira ulikua buruduni daah..kulikua na watu wana talent ya footbal wamezaliwa nazo sio sahizi wanajifunzia ukubwan watu wapige hela tu
Gaucho, zizzou, ronaldo, figo etc wote hao wamebeba tuzo ya ballon d'or, pia wengi wamebeba ucl, world cup etc, Okocha kabeba nini? Halafu mfananishe na hao top ten.
 
Mkuu lete mafanikio yake na tuzo binafsi halafu tumfananishe na hao wengine.
Mimi sijui cho chote kuhusu soka lakini kwa vile huyu Okocha anapiganiwa sana na wadau basi hata mimi nasema orodha yako ni batili bila mchawi wa soka Jay Jay Okocha 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Giunligi Buffon alisema hajawahi ona golikipa Kama Thomas Mkono...halafu we unatoka huko Buza humuweki top ten?
N'kono alikuwa vizuri sana ila ndio sasa nafasi hazijatosha. Anaweza kuwepo kwenye top 20.
 
Ni dharau kukosekana jay jay Okocha, nadhani anadharaulika kwa vile hakubonda timu nzuri nzuri(mafanikio makubwa) ngazi ya klabu.

Okocha ambae Ronaldinho anamkubali mnoo na aliwahi kunukuliwa dinho kuwa Okocha hakupaswa kwenda Uingereza, kilichomponza ni ile hamu yake ya kucheza premier league.

Okocha ambae alitoka kwao Nigeria kwenda Ujerumani kumtembelea rafiki yake, akaenda mazoezini kupasha kisha mwalimu akaomba asajiliwe mara moja.

Okocha ambae pale Uturuki alipewa jina la Mehmet na kuzawadiwa uraia juu kwa soka safi kabisa alilolimwaga pale FENERBAHCE.

Ndio kiungo mnyumbulifu zaidi kwa Afrika hadi kufikia leo hii

Okocha ndio Zinedine Zidane wa Afrika.

Nigeria ilikuwa anaibeba mabegani mwake.
Dah em elezea vyema kuhusu maisha ya okocha. Nimevutiwa hapo kwenda kupasha
 
Hata mimi nimeshangaa sana kukosekana kwa Okocha kwenye top 3
 
Dah em elezea vyema kuhusu maisha ya okocha. Nimevutiwa hapo kwenda kupasha
Ngoja nijaribu kwa ufupi sababu nina mambo yananizonga na kuandika saana ni mizuka tu huwa inakuja

Iko hivi okocha alikuwa anacheza kwao huko ENUGU RANGERS, mwaka 90 hivi akaenda zake ujerumani kumtembelea rafiki yake aliyekuwa anacheza timu ya ligi daraja la 3 ilikuwa inaitwa BORRUSIA nini sijui.. 😂 😂 Asubuhi moja alienda na mwanae kupasha huko, kocha kumuona okocha akamuelewa, Unaambiwa ni touches kadhaa tu kocha akamuelewa okocha, akala shavu hakukaa sana akasajiliw na klabu nyingine, huko hakukaa saana FRANKFURT wakamtwaa alikuwa na kina TONH YEBOAH, hapo akakinukisha kweli kweli akamfunga OLIVER KAHN goli la kideo, magoli ya chama, unamfunga kipa na mabeki wake, ni alipinda na kupindua ndani ya box kisha akazaja mpira kimiani, kama sikosei ndio likawa goli bora la msimu, fenerbahce wakamuona wakaweka mezani pauni kama milioni moja hivi wakambeba akaenda kuupiga mwingi uturuki kiasi wakampa uraia wa heshima.. Kabla psg kutoa pauni milioni 14(ya kipindi hicho kumbeba fundi wa kinaijeria) dau hili nahisi ndio ikikuwa mchezaji ghalii zaidi wa kiafrika kipindi hiko, km data zangu ziko sawa sawia.
kabla ya kwenda bolton huko aliupiga mwingi mnoo bolton ya kina OCAMPOS

Okocha ni mtu na nusu, ukisikia dinho anasema kajifunza vitu kwa okocha hapo akili lazima ikutulie kwanza.
 
Sifa nzuri sana hizi na hakuna mtu anayeweza kupinga uwezo wa Okocha isipokuwa rekodi za mafanikio ndio anazidiwa na wenzake.
 
Back
Top Bottom