Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #41
Kwa Africa kipa wa century ni N'kono japo Bell pia alikuwa vizuri.Joseph-Antoine Bell, African Goalkeeper of the Century
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Africa kipa wa century ni N'kono japo Bell pia alikuwa vizuri.Joseph-Antoine Bell, African Goalkeeper of the Century
Yupo kwenye list lakini vigezo havikutosha kwa top ten.Taribo west? Je
Kanu ni level ya juu sana mkuu, soma hapa:Hapo kwenye list yupo Nwanko Kanu ambae sifa za Kanu zinashabihiana kwa karibu na za Okocha.why Kanu awemo alafu Okocha abaki?
Kanu alishinda iyo medali ya uefa akiwa na timu ipi Ajax,Inter au Arsenal?.Kanu kubeba medali nyingi kabebwa na timu kubwa alizochezea ila uwezo wa Okocha na Kanu uwanjani Okocha ulikua juu sana na alikua anavitu vingi kiasi mpaka kuwa key player wa timu.Kanu ni level ya juu sana mkuu, soma hapa:
Kanu won a UEFA Champions League medal, a UEFA Cup medal, three FA Cup medals and two African Player of the Year awards amongst others. He is one of few players to have won the Premier League, FA Cup, Champions League, UEFA Cup and an Olympic Gold Medal.
Kanu kabeba Uefa champions league akiwa Ajax mwaka 1993/94 tena ile timu kaichezea game 54 na alifunga magoli 25 mpaka inter milan wakamwaga hela kumchukua.Kanu alishinda iyo medali ya uefa akiwa na timu ipi Ajax,Inter au Arsenal?.Kanu kubeba medali nyingi kabebwa na timu kubwa alizochezea ila uwezo wa Okocha na Kanu uwanjani Okocha ulikua juu sana na alikua anavitu vingi kiasi mpaka kuwa key player wa timu.
alafu hapo kuna medal zingine Okocha kabeba kama African player of the year,Olimpic gold medal.
Okocha alikuwa entertainer mzuri sana ila ndio hivyo hakuwa na mafanikio sana kwenye soka.Kwa hivo vigezo sawa Okocha hayupo lakini heshima yake kuwa bora haibadiliki...pia Giroud alichukua kombe la dunia na Ufaransa na hajawahi kufunga goli then tuseme ni bora zaidi ya Okocha?
ila inakwaje naye Okocha anakosa African best player na ana jina hivoOkocha alikuwa entertainer mzuri sana ila ndio hivyo hakuwa na mafanikio sana kwenye soka.
Mkuu Giroud ameifungia ufaransa magoli 46, anazidiwa na Henry peke yake mwenye magoli 51. Jamaa anamzidi hadi staa wa zamani Michael Platin mwenye magoli 41. Ingawa ni kweli hakufunga world cup 2018.😂
Watu wanapenda entertainment zake lakini alikuwa hana tija sana kwenye matokeo ya game.ila inakwaje naye Okocha anakosa African best player na ana jina hivo
Kwa ushahidi ulionipa nakubaliana na wewe Kanu yupo juu.minasimamia point moja kubwa,sehemu kuu uliyombeba Kanu ni timu alizocheza Ulaya Ajax,Inter,Arsenal zimempa heshma kubwa sana Kanu.Kanu kabeba Uefa champions league akiwa Ajax mwaka 1993/94 tena ile timu kaichezea game 54 na alifunga magoli 25 mpaka inter milan wakamwaga hela kumchukua.
Okocha hajawahi kuchukua uchezaji bora Africa wakati Kanu amechukua mara mbili. Na mbaya zaidi amechukua kipindi Okocha naye akiwa anacheza.
Kweli, timu pia zinachangia.. ila tatizo la Okocha ilikuwa show sana na sio matokeo ndio maana zile timu za makombe hazikutaka kumsajili.Kwa ushahidi ulionipa nakubaliana na wewe Kanu yupo juu.minasimamia point moja kubwa,sehemu kuu uliyombeba Kanu ni timu alizocheza Ulaya Ajax,Inter,Arsenal zimempa heshma kubwa sana Kanu.
Kwa hiyo ukienda kuangalia mpira, then siku hiyo usishuhydie magoli yakifungwa, huwa una-enjoy nini pale uwanjani?.Opinion ya ronaldinho haiwezi kuwa kigezo cha ubora wa mchezaji. Tunaangalia mafanikio aliyopata mchezaji pamoja na timu alizochezea.
Huwezi kumfananisha zidane na giroud kwasababu mafanikio yao yana gap kubwa sana. Hapo ndio kigezo cha mafanikio binafsi kinatajwa. Zidane ana ballon d'or pamoja na entertainment ya kutosha.Kwa hiyo ukienda kuangalia mpira, then siku hiyo usishuhydie magoli yakifungwa, huwa una-enjoy nini pale uwanjani?.
Ukipata majibu ndo utajua mpira sio magoli pekee au ushindi kwa timu husika kuna vingine zaidi ya hivyo.
Leo hii mtu kama Zidane hata Olivier Giroud hampati kwa magoli lakini huwezi sema Guriud ni bora kuliko Zidane.
Nitaendelea kuamini kuwa Okocha na Gaucho ndo wachezaji wangu bora wa muda wote mpaka sasa labda aje mwingine huko mbeleni.
Hao wengine mnaowasifia ni wafungaji bora ila sio wachezaji bora.
Messi na Ronaldo wana ballon d'or ngapi? Vipi tuzo za uefa? Fifa? Uefa champions league ngapi? Epl, la liga, seria a, ligue 1? Entertainment ikoje? Ronaldo ana Euro na Messi ana Copa America.Kama kujua mpira sana ni vikombe
Basi giroud ana kombe la dunia mkononi wakati Messi na Ronaldo hawana ..
Hujiulizi tu?
Mwanzo ulisema okocha hawezi kuwa moja ya wachezaji bora Africa sawa.Messi na Ronaldo wana ballon d'or ngapi? Vipi tuzo za uefa? Fifa? Uefa champions league ngapi? Epl, la liga, seria a, ligue 1? Entertainment ikoje? Ronaldo ana Euro na Messi ana Copa America.
Unafahamu maana na individual award? Sasa hapo utamfananisha giroud na hao wataalamu wa soka?
Okocha na Giroud wote wawili hawana mafanikio binafsi.. giroud anayo mafanikio kwenye timu alizochezea wakati okocha hana mafanikio ya aina hiyo.Mwanzo ulisema okocha hawezi kuwa moja ya wachezaji bora Africa sawa.
Ukasema hata tuzo alizoshiriki alikosa sababu hana mafanikio wala makombe ukatolea mfano kombe lolote africa sawa.
Kama ndiyo hivyo mbona basi kina giroud hawapewi tuzo kwa medali walizobeba?
Unaweza kuchukua makombe mengi lakini unaishia benchi kwahiyo utapata medal..
Tofautisha uwezo na mafanikio wewe hapa unaongelea mafanikio sisi tunaongelea uwezo ..
Okocha alikuwa na uwezo wa kucheza soka mkubwa sana..