Wachezaji kumi bora wa Afrika mpaka sasa

Kwa maelezo yako haya basi Okocha ni failure na hivyo hastahili chochote kwasababu hana mafanikio kwenye soka.
 
Naomba nikuache mkuu kwasababu kama unaweza kuwafananisha hao wachezaji wa epl na hawa wa nbc league basi hatutaweza kufikia muafaka.
 
Naomba nikuache mkuu kwasababu kama unaweza kuwafananisha hao wachezaji wa epl na hawa wa nbc league basi hatutaweza kufikia muafaka.
Hatuwezi kufikia muafaka kwasababu umesahau hata mfano ulioanza kuuzungumza wewe mwenyewe hapo juu.Kwaheri.
 
Tufahamishe tuzo walizonazo.

Honours
*Club domestic league appearances and goals

*Club domestic league appearances and goals

Honours and achievements
Edit
Al Ahly
Egyptian Premier League: 2004–05, 2005–06, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2009–10, 2010–11
Egypt Cup: 2006, 2007
Egyptian Super Cup: 2005, 2006, 2007, 2008, 2010
CAF Champions League: 2005, 2006, 2008, 2012, 2013
CAF Super Cup: 2006, 2007, 2009, 2013
Baniyas SC
GCC Champions League: 2012–13
Egypt
African Cup of Nations: 2006, 2008
Nile Basin Tournament: 2011
Awards
Edit
EFA Egyptian Player of the Year: 2005, 2006, 2007, 2008
African Inter-Club Player of the Year: 2006,[36] 2008,[36] 2012,[37] 2013
CAF Team of the Year: 2006, 2008, 2012, 2013
Africa Cup of Nations Dream Team: 2006, 2008
World's Most Popular Footballer: 2007,[38] 2008[39]
El Heddaf Arab Footballer of the Year: 2007, 2008, 2012
Al Mountakhab Arab Footballer of the Year: 2008
BBC African Footballer of the Year: 2008[40]
2008 Africa Cup of Nations Final: Man of the Match
FIFA Confederations Cup Dream Team: 2009[41]
Goal 50: 2009,[42] 2013[16]
IFFHS Legends: 2016[43]
Orders
Edit
Order of the Republic (Egypt)
Performances
Edit
Egyptian Second Division top goalscorer: 1999–00
Egyptian Premier League top goalscorer: 2005–06
CAF Champions League top goalscorer: 2006
FIFA Club World Cup top goalscorer: 2006
Egypt Cup top goalscorer: 2007
FIFA Confederations Cup top assist provider: 2009 (Shared with Elano, Maicon and Joan Capdevila)
FIFA World Cup qualification top goalscorer: 2014 (Shared with Mohamed Salah and Asamoah Gyan)[44]
Records

African Inter-Club Player of the Year (Based in Africa): 2006, 2008, 2012–13[36][37]
 
Kwanini hawakupewa tuzo za wanasoka bora Africa kipindi wanabeba hayo makombe?

Jibu ni rahisi kabisa, mchango wao binafsi haukuwa mkubwa kupita wale wengine waliopewa tuzo wakati huo.
 
Hili neno nahisi linatumika vibaya 'NYAKATI au WAKATI WOTE' kwanini tusitumie mpaka sasa sababu maisha yanakwenda na mitazamo hubadilika
Wanakuchanganya wanaotohoa "G. O. T" Kwenda kwenye kiswahili, Great of all time ni "notion" kwa maana yakumkusudia huyo muhusika katika uhai wake wa tasnia/fani husika, hivyo usichanganyikiwe kuona Pele ni G. O. T na bado maisha yanaendalea, ni sawasawa na wale wanaotafasiri neno "at the end of the day" kwa kiswahili "mwisho wa siku".. Hao ni bora kwa Wakati wote wa maisha yao ya mpira haijalishi watakuja wengine au laa, na hata wakija wengineo bado hawatavuliwa huyo muandishi kadhalika amechangia kukuchanganya
 
Lile bao alilomfunga oliver kahn mpaka leo ndio bao bora kuwahi kutokea kwenye ligi ya bundesligA...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Bila uwepo wa Mustafa haji wa Morocco, mahrez na aboutrika, Boneja wa Algeria hiyo list ni batili,
 
Kwa hiyo Mayele hayupo? Hata Aziz Ki nae hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…