Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.

Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka.

Mutale leo kila anaposhika mpira anadondoka au anapokonywa kizembe kabisa

Mutale yule wa Power Dynamo sio huyu wa Simba

Mwingine ni Ahoua, mwingine ni Mukwala, hata Ateba atakuwa hivyo hivyo

Siku c nyingi Fernandez naye ataingia kwenye 18 za washirikina

Fabryce Mwamba Ngoma tayari cku nyingi ameshaingia kwenye chungu, hana tena maajabu.

Watu tunajiuliza Louis Micquisone huyu huyu alietoka Simba juzi t ndio anapasua anga UD Songo?

Basi utasikia msimu ujao wamemchukua wao na wanamfungulia password

Wachezaji wote walioachwa Simba msimu uliopita wanakiwasha kwenye timu zao mpya tena wengine wamesajiliwa kwa mahela mengi t

Walipokuwa Simba ama walikuwa majeruhi ama walikuwa vituko t uwanjani

Wachezaji hawa ni lazima Dua na kafara ifanyike vinginevyo hakuna kazi tena

Pia soma:Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
 
Mna kazi kubwa sana.
 
Mechi ya juzi imeanza kuwaibua mdogo mdogo, tulipokuwa tunawaambia mmefanya usajili wa ligi kuu mlitutukana sana sasa Kila kitu kinaanza kuwa wazi, na bado!
 
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.

Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka.

Mutale leo kila anaposhika mpira anadondoka au anapokonywa kizembe kabisa

Mutale yule wa Power Dynamo sio huyu wa Simba

Mwingine ni Ahoua, mwingine ni Mukwala, hata Ateba atakuwa hivyo hivyo

Siku c nyingi Fernandez naye ataingia kwenye 18 za washirikina

Fabryce Mwamba Ngoma tayari cku nyingi ameshaingia kwenye chungu, hana tena maajabu.

Watu tunajiuliza Louis Micquisone huyu huyu alietoka Simba juzi t ndio anapasua anga UD Songo?

Basi utasikia msimu ujao wamemchukua wao na wanamfungulia password

Wachezaji wote walioachwa Simba msimu uliopita wanakiwasha kwenye timu zao mpya tena wengine wamesajiliwa kwa mahela mengi t

Walipokuwa Simba ama walikuwa majeruhi ama walikuwa vituko t uwanjani

Wachezaji hawa ni lazima Dua na kafara ifanyike vinginevyo hakuna kazi tena

Pia soma:Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
Hii ni thinking or sinking?
 
Wapo Washirikina wanaopandisha viwango, kwa nini mucwapeleke?
 
Mmeanza mapema mbona? Mlisema timu imesajili vizuri na inawachezaji wazuri mno
 
Simba wamesajili wachezaji wawili tu, Debora na Kipa Wengine Waliobaki ni wachezaji wa wastani ambao mkizidisha lawama wataporomoka zaidi.

Mkumbuke msimu huu mlisema mnasajili vitoto mnajenga timu Sasa msitoke kwenye malengo yenu ya Ujenzi.
Huyo Deborah mwenyewe sijui ana exception Gani mi namuona ni WA kawaida pia, ila ni Bora mara mia
 
Debora anaweza kukupa Diffensive na Offensive ila lazima awe na partner ambaye ni Holding wa maana.
Debora anashindwa kusogea ambayo ni faida kwa timu kwakua hana uhakika na Partner wake kama ataweza kupambana katika Counter offensive.
Debora ni Ngumu ku mpora mpira kwakua ananguvu na unyumbufu shida yake atakupa ufanisi dk 65/70 baada ya hapo ana Anza kupoteza pass.

Mfano Yanga, Muda akishambulia Aucho anabaki na anauwezo wa kuzuia shambulizi la ghafla au Aucho akishambulia Muda ata baki na kuzuia Sasa Simba hawana watu wa hivyo.
Holding mmoja akipanda, wakishtukizwa Yanabaki Majanga.
 
NJoeni kwetu tuwape wachezaji wapo kina mkude,sure boy,farid musa,abuya,andambwile,akina kibwana nk ambao hata hatuna mpango nao, Sure boy na mkude wakija ssc wakija pale wanachukua namba za watu bila hiyana. balua vs farid mussa ndg zangu unaenda na nani?
 
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.

Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka.

Mutale leo kila anaposhika mpira anadondoka au anapokonywa kizembe kabisa

Mutale yule wa Power Dynamo sio huyu wa Simba

Mwingine ni Ahoua, mwingine ni Mukwala, hata Ateba atakuwa hivyo hivyo

Siku c nyingi Fernandez naye ataingia kwenye 18 za washirikina

Fabryce Mwamba Ngoma tayari cku nyingi ameshaingia kwenye chungu, hana tena maajabu.

Watu tunajiuliza Louis Micquisone huyu huyu alietoka Simba juzi t ndio anapasua anga UD Songo?

Basi utasikia msimu ujao wamemchukua wao na wanamfungulia password

Wachezaji wote walioachwa Simba msimu uliopita wanakiwasha kwenye timu zao mpya tena wengine wamesajiliwa kwa mahela mengi t

Walipokuwa Simba ama walikuwa majeruhi ama walikuwa vituko t uwanjani

Wachezaji hawa ni lazima Dua na kafara ifanyike vinginevyo hakuna kazi tena

Pia soma:Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
Ingekuwa kuroga kunalipa amini nakwambia tanzania ingeshachukua makombe mengi.
Ila hakuna kitu kama hicho.
 
Mutale ni mzuri ila hana ubora huo unaouzungumzia, jamaa alipowachachafya mlipo kutana nae ndio jicho la scout likaishia hapohapo .
 
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.

Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka.

Mutale leo kila anaposhika mpira anadondoka au anapokonywa kizembe kabisa

Mutale yule wa Power Dynamo sio huyu wa Simba

Mwingine ni Ahoua, mwingine ni Mukwala, hata Ateba atakuwa hivyo hivyo

Siku c nyingi Fernandez naye ataingia kwenye 18 za washirikina

Fabryce Mwamba Ngoma tayari cku nyingi ameshaingia kwenye chungu, hana tena maajabu.

Watu tunajiuliza Louis Micquisone huyu huyu alietoka Simba juzi t ndio anapasua anga UD Songo?

Basi utasikia msimu ujao wamemchukua wao na wanamfungulia password

Wachezaji wote walioachwa Simba msimu uliopita wanakiwasha kwenye timu zao mpya tena wengine wamesajiliwa kwa mahela mengi t

Walipokuwa Simba ama walikuwa majeruhi ama walikuwa vituko t uwanjani

Wachezaji hawa ni lazima Dua na kafara ifanyike vinginevyo hakuna kazi tena

Pia soma:Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
Kwahiyo ushirikina wenu unashusha viwango tu ila haupandishi? Kweli ushirikina hasara kubwa 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom