Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kawaida Sana kwa vilabu vya kariakoo,Goli tano zazua kizaazaa msimbazi!
hata huko Utoponi mwaka 2012 baada ya zile 5 mwenyekiti alilazimishwa kuachia ngazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida Sana kwa vilabu vya kariakoo,Goli tano zazua kizaazaa msimbazi!
WataishaBila Simba kurudishwa utamaduni wa kusoma kisomo cha ALALBADIR BAYANA kabla ya mechi itaendelea kuhujumiwa kila siku.
Muwe na utaratibu wa kusoma kisomo kwa wasaliti wa timu.
Muwalishe yamini wachezaji wote na viongozi wote kama wafanyavyo Yanga.
Muone kama Kuna atakayehujumu timu.
UZUSHI NA KUTAFUTA KUWATUPIA WATU LAWAMA.
UONGOZI WA SIMBA NI MCHAFU MNO UNANUKA ZAIDI YA MZOGA.
ANGALIA HAWA WAZEE KWENYE BACKBONE YA SIMBA KIUNGO.
1.Saido mstaafu
2. Ngoma mstaafu.
3. Chama mstaafu.
4. Miquissone mstaafu.
5. Boko mstaafu.
6. Kapombe nampenda sana
7. Shabalala mstaafu
Yaani kweli ujue Simba hawana uongozi pale. Mo sio kiongozi wa taasisi kubwa kama Simba. Yule ameandaliiwa kuongoza biashara zilizo tayari. Tajiri gani anashindana maneno mitandaoni mpaka na wachezaji?. Utoto mwingi.Wasiivuruge timu, duniani kote timu kubwa kufungwa goli 5 au zaidi ni kitu cha kawaida
Aish manula ujue ndani ya nyumbaWachezaji watano mnataja watatu hao wawili ni akina nani?
Tena wa hovyo kweli kweli! Lini mchezaji au kocha anaajiriwa timu isifungwe?Kam ni kweli, basi hiyo board ina watu wa hovyo
Hapo wanatafuta kufurahisha mashabiki. Wakati huo huo wao wakiendelea kuhangaika tayari mashabiki walishaona kitambo UDHAIFU wa timu yao. Pia wajue mpira unachezwa sehemu za wazi mashabiki wao waliiona kila kituKama wana ushahidi wapeleke TAKUKURU ndo tutajua wapo serious na hizo tuhuma kinyume na hapo naona kama tunatafuta kupeana moyo kuwa haikuwa kufungwa kwa kawaida.
Yule mdebwedo tu. Beki gani laini vile?. Beki anajibadiri rangi? Beki uliza GatusoInonga kawa hovyo sana siku hizi , hii mechi ya juzi kacheza chini ya kiwango sana...huenda alivuta chake mapema.
Hakuna lolote. Mnajipoteza tu. Hakuna yoyote atakaeleta ushahidi wa namna hiyo.Ushahidi wa miala ya ya kutisha wote ndani ya muda mmoja like roborted transactions.. Then sijui nani aliruhusu waende disco usiku mmoja kabla ya derby.. hapa mistake ndio ilipoanzia.
Simba wanahitaji ushauri nasaha, (Counselling)
Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili.
Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao.
Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha bodi ya Wakurugenzi ya Simba kilichofanyika jana jijini Dar es salaam.
Chanzo cha uhakika kutoka Simba SC kimeiambia Kishamba Media kuwa uongozi umeshapata ushahidi wa awali kuhusu tuhuma dhidi ya wachezaji hao na sasa imeanza uchunguzi wa kina ili kujiridhisha.
Wachezaji hao watakua nje ya kambi ya timu mpaka hapo maamuzi mengine yatakapofanyika.
Chanzo hicho kimesema huwenda leo klabu ya Simba ikatoa taarifa ya wazi kwa Umma juu ya maamuzi waliyofikia kuhusu wachezaji hao au wasitoe ila wahusika wamepewa taarifa.
Maamuzi mengine yaliyofikiwa na bodi ni kufutwa kazi kwa kocha mkuu Robertinho, msaidizi wake pamoja na kocha wa viungo.
Kishamba Updates
Hili ndio swali ambalo hata mimi najiuliza.kama hao wachezaji watano walihujumu timu kwanini kocha akatimuliwa??
Vipi una maoni gani kuhusu yule golikipa wetu Ayubu aliyesajiliwa na tajiri wetu Moo kwa shilingi bilioni 3 za Kitanzania?Reformation. Wareform kuanzia uongozi wasiwaonee wengine tu.