Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia hivyo basi ampe hata wizara isiyo na kazi maalum... amekuwa sehemu ya tatizoHuyo mkwe
Kukabidhi kombe kwenye daraja ndio ubunifu??Mkuu naona umeanza kuingilia uhusiano wa Mtu na Mkwewe!
Mbona siku ile alipokabidhi Kombe la EUFA pale Tanzanite Bridge, mkwewe alimpongeza kwa ubunifu,sasa naona wewe unaanza kuwagombanisha....
Aliwahi kuunda kamati ya kutafuta mziki wa taifa.nikamdharau kuanzia siku hiyo.hamna kitu pale ni bomu tu
Yes, kule alipaweza sijajua kwa nini ghafla akahamishwa.Mchengerwa Utumishi alipamudu sana kwa mtazamo wangu.
Mchengerwa ni mwanasheria, wizara ya utumishi mambo yake mengi ni juu ya usimamizi wa sheria za utumishi na utekelezaji wake. Aliimudu vyema maana ilikuwa ipo ndani ya eneo lake la taaluma, sasa huku kwenye sanaa amekuja akiwa hajui kitu kabisa - yaani yupo ugeniniYes, kule alipaweza sijajua kwa nini ghafla akahamishwa.
Juzi kawakashfu Sana wachezaji wa taifa stars.Kadai hawajitumi,badala ya kuadresa kwanini hawajitumi anasema wataondolewa.Anadai pia kwamba timu za taifa ni za serikali,tff inasaidia tu.Nadhani watanzania wote tunakubaliana waziri Mchengelwa ndio waziri aliyeonesha uwezo mdogo sana tangu hii nchi ipate uhuru wake mwaka 1961.
Pale wizarani hakuna jipya analofanya. Na shida kubwa ni kwa kuwa yeye ni waziri lakini hajui lolote kuhusu mambo anayoyasimamia. Hajui kuhusu sanaa hajui kuhusu michezo hajui kuhusu burudani.
Mama ikikupendeza mtafutie kazi nyingine au kama unashindwa basi mpeleke hata wizara ya uvuvi uko.
Wizara yake inasimamia industries zinazokuwa kwa kasi na zimekuwa mbadala wa ajira zinatoa ajira sana lakini waziri bado anafikiri so 1980s.
Waziri hajui hata timu ya taifa inahitaji nini ili isonge mbele. Anaanza mpaka kupanga kikosi [emoji1787][emoji1787]
Waziri anataka maelezo ya bondia ambaye wizara yake haijawai hata kumnunulia maji ya mia 5 [emoji23][emoji23]
Waziri anasikiliza arbitration ya biashara ya muziki anajenga hoja kwa mifano ya mtoto akikuwa anaondoka nyumbani akajitafutie [emoji1787][emoji1787]
Yani hapa mama ulituangusha sana ebu fanya jambo huyu mtu watu wamemchoka si wasanii si wanamichezo wote hawamtaki.
Anatapatapa tu hajui kushugulikia mambo ya kimchezo na burudani.Juzi kawakashfu Sana wachezaji wa taifa stars.Kadai hawajitumi,badala ya kuadresa kwanini hawajitumi anasema wataondolewa.Anadai pia kwamba timu za taifa ni za serikali,tff inasaidia tu.