Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

Mkuu naona umeanza kuingilia uhusiano wa Mtu na Mkwewe!

Mbona siku ile alipokabidhi Kombe la EUFA pale Tanzanite Bridge, mkwewe alimpongeza kwa ubunifu,sasa naona wewe unaanza kuwagombanisha.

"Kwa hili suala la kumkashifu Mkwe wangu,umeniparura na mimi nimemuagiza mwanangu IGP Wambura na DCI Kingai wakutafute ili na wewe ukunwe"
 
Vile CCM huwa wanajibu wakiulizwa ni kwa nini nchi hii ni masikini ndani ya utawala wao ndani ya miaka 60 tokea uhuru👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Nkwe huyo acha tu tutafanyeje sasa ....wataka wanijie juu na gubu is bibie?? Hapo tu Michezo kelele na kilio week 2.....sembuse aachwe
 
Yes, kule alipaweza sijajua kwa nini ghafla akahamishwa.
Mchengerwa ni mwanasheria, wizara ya utumishi mambo yake mengi ni juu ya usimamizi wa sheria za utumishi na utekelezaji wake. Aliimudu vyema maana ilikuwa ipo ndani ya eneo lake la taaluma, sasa huku kwenye sanaa amekuja akiwa hajui kitu kabisa - yaani yupo ugenini
 
Juzi kawakashfu Sana wachezaji wa taifa stars.Kadai hawajitumi,badala ya kuadresa kwanini hawajitumi anasema wataondolewa.Anadai pia kwamba timu za taifa ni za serikali,tff inasaidia tu.
 
Juzi kawakashfu Sana wachezaji wa taifa stars.Kadai hawajitumi,badala ya kuadresa kwanini hawajitumi anasema wataondolewa.Anadai pia kwamba timu za taifa ni za serikali,tff inasaidia tu.
Anatapatapa tu hajui kushugulikia mambo ya kimchezo na burudani.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa ili mabadiliko ya kweli yafanyike nchi hii, inabidi kuanzishwe 'movement' ya kuitenga serikali. Kule mnaenda tu kuchukua vibali ila shughuli zao zote hamshiriki wala hamuwaaliki katika mambo yenu.

Watu wa serikali wanaogopa sana kushindwa umaarufu na watu wengine. Wanaamini katika kila jambo serikali na watu wake lazima wawe na influence kuliko mtu yoyote. Lini umeona katika tukio kubwa la sanaa au michezo, mgeni rasmi kuwa ni mchezaji wa zamani au msanii wa zamani? Hili ndiyo tatizo kubwa. Dawa ni kuwatenga tu.
 
Mnapotumwa na huyo mjinga wenu tumieni akili uwezo wa Mchengerwa ni mfano kwa Taifa mnachofanya ninyi ni majungu mnayotumwa na hiyo takataka. Hivi Mshale wa tako aliopigwa hakutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…