othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Nipo chalinze vigwaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni bei kwa mita moja ama?Tawa Water Proffesional wachimbaji wa visima vya maji safi na salama
Bei zetu za Uchimbaji wa Visima pamoja na Underground Water Survey.
Bei kwa Wateja wa Dar es Salaam na Pwani
Tshs 70,000/= kwa bei hii unachimbiwa unawekewa Bomba Upvc na pampu ila Pvc zinakuwa za ukubwa wa Inchi 4 5
Tshs 80,000/= kwa bei hii unachimbiwa na kuwekewa Bomba Upvc na pampu ila Upvc zinakuwa na ukubwa wa Inchi 5.
Tshs 100,000/= Bei ya uchimbaji kwa wateja wa Morogoro. Na kwa bei hiyo unawekewa bomba na upvc na pump ila Pvc zinakuwa na ukubwa wa inchi 5
Tshs 120,000/= hiyo ni bei ya uchimbaji kwa mikoa yote iliyobakia kuanzia Dodoma,Iringa,Mwanza,Kigoma na mikoa mingine yote. Kwa bei hiyo pia unawekewa Bomba Upvc na pampu na bomba zinakuwa na ukubwa wa Inchi 5.
Visima vyetu unaweza ukafanyia shughuli mbalimbali kama vile matumizi ya nyumbani,kulishia mfugo,kumwagilia mashambani au hata biashara ya kuuza maji na kisambaza.
Tupo Dar Es salaam Chanika.
Mawasiliano: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_ watsapp onlyView attachment 1525789View attachment 1525790
Hivi mbona zinatumika nguvu nyingi wakati tayari wagombea wa CHADEMA wameondolewa
TAWA WATER PROFFESIONAL
Je Unajuwa kwa nini Visima vingi vinavyochimbwa vinakuwa havina maji au vina maji kidogo then baadaye yanakuwa hayatoki?
Zipo sababu nyingi sana ila leo nitazungumzia sababu kuu mbili au tatu.
1: Kuchimba bila kufanya Utafiti (Underground water Survey) lengo la kufanya survey ni kuwa na uhakika na kujuwa kuwa mwamba wa maji halisi unapatikana umbali gani. Na ili uchimbe kisima upate maji ni lazima utobowe mwamba unaopitisha maji. Visima vingi vinachimbwa bila ya kufanyiwa Utafiti kwa wateja kuogopa ghalama ya kufanya utafiti ndio mwisho wale wanachimba kisima wanakosa kabisa maji au wanapata maji kidogo.
2: Kuchimba Bila ya kutoboa maji: Lengo la kuchimba na mashine ni kutobowa mwamba wa maji,ukifanikiwa kuutobowa huo mwamba wa maji unakuwa umejihakikishia kuwa na maji ya muda mrefu sasa wachimbaji wengi wasio na weredi na muda mwingine huwa inachangiwa na makubaliano kama mtu kapewa pesa ndogo atataka kujitengenezea mazingira ya kupata pesa ndio hapo utachimbiwa kisima ambacho mtu hatotobowa mwamba wa maji.
3: Upangaji wa zile Pvc pipe: Pvc pipe zipo za aina mbili kuna sreen Upvc pipe ambazo zinakuwa kama vile zimechanwachanwa na zingine ni Plain Upvc pipe zenyewe zinakuwa hazina uwazi. Huu uwazi uliyopo kwenye Screen Upvc pipe lengo lake ni kupitisha maji yanayotoka kwenye kuta za kisima ili yaingie kwenye zile bomba kama utakuwa umezipanga vibaya either zile mita zenye maji mengi wewe ukaweka bomba za Plain Upvc ambazilo hazina ule uwazi wa kupitisha maji maana yake hapo kisima chako kitapitisha maji kwa kiasi kidogo na mwisho wake hutokuwa na maji mengi kisimani kwako.
Hizo ni baadhi ya sababu chache sana zinazoweza kusababisha kisima kukosa maji au kuwa na maji machache.
Nb: Underground water survey inatowa majibu sahihi kwa asilimia 95 itategemea na Geologist atakaye kufanyia hiyo survey.
Nikutahadhalishe surveyors wengi wanaofanya kazi kwa sasa hawajasomea hiyo kazi ni unanja ujanja tu ndio maana visima visivyo na maji ni vingi kuliko vyenye maji.
Kwa huduma za uchimbaji wa Visima na ufanyaji wa Underground water survey usisite kuwasiliana nasi.
0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_watsapp
Tupo Dar es salaam ChanikaView attachment 1556414View attachment 1556415
Sababu zingine..
1. Over pumping from nearby wells (radius of influence)
2. Perched aquifers (wazee wa kufanya VES bila kufanya lateral inawahusu)
3. Other geological activities kama earthquake au uplifts inaweza haribusifa za aquifer.
All in all summary nzuri boss
Sababu zingine..
1. Over pumping from nearby wells (radius of influence)
2. Perched aquifers (wazee wa kufanya VES bila kufanya lateral inawahusu)
3. Other geological activities kama earthquake au uplifts inaweza haribusifa za aquifer.
All in all summary nzuri boss
Asanteni kwa ufafanuzi mzuri. Nataka kuchima kisima cha maji cha uhakika Morogoro Ifakara. Waliochima maeneo hayo visima vya uhakika wamekwenda angalau mita 80. Nataka maji mengi nimwagilie shamba la ekari 20-30 mazao kama mahindi na mtama. Napenda kujua itagharimu kiasi gani kufanikisha hilo. Mnaweza kuni PM.
naomba mchanganuo wa elfu 90 Kwa mita moja naona kama sijaelewa mkuu
okay sawa mkuu...Kwa hiyo bei utachimbiwa,utawekewa bomba Upvc,utawekewa Gravel pamoja na kisafishiwa kisima chako. Kama kisima kitakuwa na urefu letsay mita 80 inamaana utazidisha elfu 90 mara mita 80