Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Tawa Water Proffesional wachimbaji wa visima vya maji safi na salama

Bei zetu za Uchimbaji wa Visima pamoja na Underground Water Survey.

Bei kwa Wateja wa Dar es Salaam na Pwani

Tshs 70,000/= kwa bei hii unachimbiwa unawekewa Bomba Upvc na pampu ila Pvc zinakuwa za ukubwa wa Inchi 4 5

Tshs 80,000/= kwa bei hii unachimbiwa na kuwekewa Bomba Upvc na pampu ila Upvc zinakuwa na ukubwa wa Inchi 5.

Tshs 100,000/= Bei ya uchimbaji kwa wateja wa Morogoro. Na kwa bei hiyo unawekewa bomba na upvc na pump ila Pvc zinakuwa na ukubwa wa inchi 5

Tshs 120,000/= hiyo ni bei ya uchimbaji kwa mikoa yote iliyobakia kuanzia Dodoma,Iringa,Mwanza,Kigoma na mikoa mingine yote. Kwa bei hiyo pia unawekewa Bomba Upvc na pampu na bomba zinakuwa na ukubwa wa Inchi 5.

Visima vyetu unaweza ukafanyia shughuli mbalimbali kama vile matumizi ya nyumbani,kulishia mfugo,kumwagilia mashambani au hata biashara ya kuuza maji na kisambaza.

Tupo Dar Es salaam Chanika.
Mawasiliano: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_ watsapp only
20200727_111226.jpeg
20200727_163445.jpeg
 
0625 576 082_ watsapp onlyView attachment 1525789View attachment 1525790
Hizi ni bei kwa mita moja ama?
 
TAWA WATER PROFFESIONAL

Je Unajuwa kwa nini Visima vingi vinavyochimbwa vinakuwa havina maji au vina maji kidogo then baadaye yanakuwa hayatoki?

Zipo sababu nyingi sana ila leo nitazungumzia sababu kuu mbili au tatu.

1: Kuchimba bila kufanya Utafiti (Underground water Survey) lengo la kufanya survey ni kuwa na uhakika na kujuwa kuwa mwamba wa maji halisi unapatikana umbali gani. Na ili uchimbe kisima upate maji ni lazima utobowe mwamba unaopitisha maji. Visima vingi vinachimbwa bila ya kufanyiwa Utafiti kwa wateja kuogopa ghalama ya kufanya utafiti ndio mwisho wale wanachimba kisima wanakosa kabisa maji au wanapata maji kidogo.

2: Kuchimba Bila ya kutoboa maji: Lengo la kuchimba na mashine ni kutobowa mwamba wa maji,ukifanikiwa kuutobowa huo mwamba wa maji unakuwa umejihakikishia kuwa na maji ya muda mrefu sasa wachimbaji wengi wasio na weredi na muda mwingine huwa inachangiwa na makubaliano kama mtu kapewa pesa ndogo atataka kujitengenezea mazingira ya kupata pesa ndio hapo utachimbiwa kisima ambacho mtu hatotobowa mwamba wa maji.

3: Upangaji wa zile Pvc pipe: Pvc pipe zipo za aina mbili kuna sreen Upvc pipe ambazo zinakuwa kama vile zimechanwachanwa na zingine ni Plain Upvc pipe zenyewe zinakuwa hazina uwazi. Huu uwazi uliyopo kwenye Screen Upvc pipe lengo lake ni kupitisha maji yanayotoka kwenye kuta za kisima ili yaingie kwenye zile bomba kama utakuwa umezipanga vibaya either zile mita zenye maji mengi wewe ukaweka bomba za Plain Upvc ambazilo hazina ule uwazi wa kupitisha maji maana yake hapo kisima chako kitapitisha maji kwa kiasi kidogo na mwisho wake hutokuwa na maji mengi kisimani kwako.

Hizo ni baadhi ya sababu chache sana zinazoweza kusababisha kisima kukosa maji au kuwa na maji machache.

Nb: Underground water survey inatowa majibu sahihi kwa asilimia 95 itategemea na Geologist atakaye kufanyia hiyo survey.

Nikutahadhalishe surveyors wengi wanaofanya kazi kwa sasa hawajasomea hiyo kazi ni unanja ujanja tu ndio maana visima visivyo na maji ni vingi kuliko vyenye maji.

Kwa huduma za uchimbaji wa Visima na ufanyaji wa Underground water survey usisite kuwasiliana nasi.
0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_watsapp

Tupo Dar es salaam Chanika
FB_IMG_1596873520478.jpeg
IMG_20180731_101540.jpeg
 
Sababu zingine..

1. Over pumping from nearby wells (radius of influence)

2. Perched aquifers (wazee wa kufanya VES bila kufanya lateral inawahusu)

3. Other geological activities kama earthquake au uplifts inaweza haribusifa za aquifer.

All in all summary nzuri boss
 
Asanteni kwa ufafanuzi mzuri. Nataka kuchima kisima cha maji cha uhakika Morogoro Ifakara. Waliochima maeneo hayo visima vya uhakika wamekwenda angalau mita 80. Nataka maji mengi nimwagilie shamba la ekari 20-30 mazao kama mahindi na mtama. Napenda kujua itagharimu kiasi gani kufanikisha hilo. Mnaweza kuni PM.
Hivi mbona zinatumika nguvu nyingi wakati tayari wagombea wa CHADEMA wameondolewa

Tupo Dar es salaam ChanikaView attachment 1556414View attachment 1556415
Sababu zingine..

1. Over pumping from nearby wells (radius of influence)

2. Perched aquifers (wazee wa kufanya VES bila kufanya lateral inawahusu)

3. Other geological activities kama earthquake au uplifts inaweza haribusifa za aquifer.

All in all summary nzuri boss
 
Hivi kuna maeneo ambayo hayana maji kabisa hata wakidrill futi nyingi kwenda chini?
 
Asante kaka kwa kuongezea notes lengo watu waelimike wachimbe visima kisasa
Sababu zingine..

1. Over pumping from nearby wells (radius of influence)

2. Perched aquifers (wazee wa kufanya VES bila kufanya lateral inawahusu)

3. Other geological activities kama earthquake au uplifts inaweza haribusifa za aquifer.

All in all summary nzuri boss
 
Sawa boss
Asanteni kwa ufafanuzi mzuri. Nataka kuchima kisima cha maji cha uhakika Morogoro Ifakara. Waliochima maeneo hayo visima vya uhakika wamekwenda angalau mita 80. Nataka maji mengi nimwagilie shamba la ekari 20-30 mazao kama mahindi na mtama. Napenda kujua itagharimu kiasi gani kufanikisha hilo. Mnaweza kuni PM.
 
Habari wana Jf, leo nitajaribu kuwaelezea hatua nne za kufuata kabla na baada ya kuchimba kisima please hizi ni hatua muhimu sana kwa visima vilivyo bora kabisa na huwa zinafanywa na wataalamu na sio makanjanja, karibu sana kwa darsa;

1: HYDROGIOLOGISTS SITTING THE BOREHOLE LOCATION.

Hii ni hatua ya kwanza tunayotakiwa kuifanya ni kujuwa wapi tunaweza pata maji na tunaweza yapata kwa njia ipi? Hapo sasa ndio kazi ya Geologists inapoanza kuonekana maana wao watatumia baadhi ya mashine na njia tofauti tofauti katika kufanya utafiti wa kujuwa maji yapo wapi na katika umbali gani. Zipo njia nyingi za kufanyia utafiti zipo za Local na hata za Modern next kipindi nitaelezea hizo njia za Local na modern zipoje. Umuhimu wa Geologists wai ndio wanakupa majibu uchimbe kisima wapi na umbali gani na kwalutumia mfumo gani wa uchimbaji kama ni Mudrotary,Air rotary au percution.

2: DRILLING AND CONSTRUCTION.

Baada sasa ya Geologist kutusaidia kupata sehemu ya kuchimba kisima na kutueleza tuchimbe kwa urefu gani na kwakutumia mfumo gani sasa hatua inayofuata ni kukichimba hiko kisima na kukijengea. Baada sasa ya kuchimba hiko kisima katika urefu unaotakiwa chini ya usimamizi wa Geologists sasa kuna hatua ya kuweka mabomba pamoja na uwekaji wa kokoto ndogo. Kwenye inshu ya uwekaji wa bomba ( Upvc Casing) sio ni swala la kushusha tu mabomba hapana ni lazima uwe na mchoro wa kisima chako ili ujuwe kila bomba inaingia kwenye layer gani maana kwenye mabomba kuna Screen Casing na Plain Casing zote hizi zinakazi yake ndani ya kisima so kama utaweka Plain casing kwenye eneo la Screen maana yake utapunguza uwingiaji wa maji kwenye kisima chako na mwisho utakuwa na maji kidogo kwenye kisima chako. Ndio maana tunashauri uwe na mtaalamu wakati wa uchimbaji wa kisima chako.

3: UTAMBUZI WA WINGI NA UWEZO WA MAJI KISIMANI.

Hapa kitaalamu tunaiita Pump Test. Hapa tunakuwa na pampu za ukubwa tofauti tofauti either mbili au tatu hapa tutatest kuanzia na pampu kubwa hadi ndogo lengo la kwanza ni kujuwa ni pampu gani ni sahihi katika kisima chako,pia kutambua iqezo wa kisima chako wingi wa maji pamoja na wingi wa maji yanayoingia ndani ya kisima chako. Unaweza kufunga pampu kumbe pampu uliyofunga ni kubwa kuliko wingi wa maji yaliyopo kisima mwishowe kisima kita Run Dry na kuchoma pampu yenyewe.

4: PUMPING AND PIPPING THE BOREHOLE.

Baada ya kujuwa ni pampu gani sahihi kwa kisima chako sasa hatua inayofuata ni kufunga pampu pamoja na kufunga pipe za kutoka kwenye pampu hadi kwenye supply. Kila kitu kinatakiwa kiwe quality nzuri ili kiwe na life sparn kubwa.

KWA MAHITAJI YA UCHIMBAJI WA VISIMA NA UFANYAJI WA UNDERGROUND WATER SURVEY KWA GHALAMA NAFUU KABISA USISITE KUWASILIANA NASI KAMA TAWA WATER PROFFESIONAL WE ARE THE BEST ON BLREHOLE DRILLING ACTIVITIES.

MAWASILIANO: 0689 150 968
0625 576 082_ WATSAPP ONLY
IMG_20191011_124436.jpeg
IMG_20191010_111721.jpeg
 
TAWA WATER PROFFESIONAL
KAMPUNI BINGWA YA UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU NA VIFUPI KOKOTE NDANI YA TANZANIA NA BEI ZETU NI NAFUU SANA.

BEI YA UCHIMBJAI WA VISIMA KWA MIKOANI NI TSHS 90000 KWA MITA MOJA.

HUDUMA ZINGINE NI TUNAFANYA UTAFITI WA MAJI ARDHINI (UNDERGROUND WATER SURVEY),TUNAFUNGA PAMPU ZA MAJI NA PIA TUNASAFISHA VISIMA.

PIA TUNACHIMBA DAR ES SALAAM NA PWANI.

MAWASILIANO: 0689 150 968
0764 418 248
0625 576 082_WATSAPP ONLY
IMG_20191011_124436.jpeg
IMG_20191010_111721.jpeg
 
Kwa hiyo bei utachimbiwa,utawekewa bomba Upvc,utawekewa Gravel pamoja na kisafishiwa kisima chako. Kama kisima kitakuwa na urefu letsay mita 80 inamaana utazidisha elfu 90 mara mita 80
naomba mchanganuo wa elfu 90 Kwa mita moja naona kama sijaelewa mkuu
 
Kwa hiyo bei utachimbiwa,utawekewa bomba Upvc,utawekewa Gravel pamoja na kisafishiwa kisima chako. Kama kisima kitakuwa na urefu letsay mita 80 inamaana utazidisha elfu 90 mara mita 80
okay sawa mkuu...
 
Back
Top Bottom