Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Wafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.


Chanzo: ITV
 
Vipi kama hii taarifa ingekua wazawa ndio wamewapiga wachina,wewe ungeona ni sawa?

Hapa issue ni kujichukulia sheria mkononi ndio kosa kuu.
Hapana. Si sawa kwa mtu yeyote yule kumpiga mwenzake.

Mimi ninachokataa ni ule unyonge wa kipumbavu.

Mimi hakuna wa kunipiga halafu yeye abaki tu kama alivyo.

Yeyote atayejaribu kunigusa naye nitamgusa.

Hakuna wa kunipiga halafu nami nijikunyate tu huku nikiendelea kupigwa.

Atayeanza kunipiga basi ajiandae kupigana mpaka mwisho.

I refuse to be a sucker.
 
Wafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.


Chanzo: ITV
Kama wanaowapiga migumi, basi hata kuwalawiti watakuwa wanalawitiwa
 
Wacha yapigwe tu. Hii nchi unaweza safiri kilomita zaidi ya mia tano ukakutana na mapori manene yakoyako tu bwerere badala yaende yakalime yamebakia kufanya kazi kwa mchina. Yapigwe tu no mercy.

adriz de mbusii
Hili la mapori umelima bwashee? Au unamtegemea demu wako wa Bluetooth yule mashavu, Vale nafaka?
 
Back
Top Bottom