Wabongo wanashangilia kwa sababu hayo majamaa ni mazoba. Unapigwaje namna hii na mgeni halfu wewe unakaa na kulia-lia? Ndiyo maana waarabu walikuwa wanafungasha watu 100 na wote walitii! Ujinga mtupu.Maana gani, watu wanapigwa na wachina na wabongo wanashangilia. Watu wanajiona inferior na wanaona wachina kama superior kiasi kwamba wanawaona kama Mungu, eti ni sawa kufanyia watu weusi chochote wanachojisikia
Kuna damage kubwa sana kwenye akili zetu Watanzania.
SELF HATE in Africa haiwezi kuondoka leo wala kesho, long lasting effect ya colonialism. Mpaka leo watu wanajiona inferior, watavumilia upumbavu wote unaofanyaa na watu wenye ngozi nyeupe iwe wachina au wazungu ilimradi haujafanywa na watu weusi
🤣🤣🤣🙌Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!
Hii sio sawaWafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.
Chanzo: ITV
Hii ni crime kama crime nyingine mkuu. Sometimes sio kila kitu lazima kulink na siasa. CCM ni wakoloni ndio, lakini haijustify raia wa kigeni kujichukulia sheria mkonono dhidi ya Mtanzania yoyote yule. Still hakuna sababu ya kujustify walichofanyaYote uliyoyaandika hapa uliyem-quote pale juu siyo kwamba hayajui anayajua sana ungemsoma katikati ya mistari ungemuelewa.
Umesema colonialism?Tanzania ipo chini ya ukoloni wa ccm tena weusi wenzetu hao madogo wanaopigwa vyuma vya kichwa na wachina wakiambiwa waitetee nchi yao dhidi ya mkoloni huyu wanaishia kutukana mitandaoni ndiyo maana wameambiwa acha wapigwe
Kwa hiyo wazawa wamepigwa na wachina na pia wa kulaumiwa ni wazawa? How is this different from self hate/ inferiority complex?Wabongo wanashangilia kwa sababu hayo majamaa ni mazoba. Unapigwaje namna hii na mgeni halfu wewe unakaa na kulia-lia? Ndiyo maana waarabu walikuwa wanafungasha watu 100 na wote walitii! Ujinga mtupu.
Asante mkuu kwa hii lead na connection. Naanza kuifanyia kazi mara moja.Binti wa Moi aliyeuteka moyo wa bazazi Loose Nut. Nenda pale kona ya Mbauda ulizia mtu anaitwa Moi. Ndo baba mkwe huyo
Hujanisoma! Hoja yangu ni hii: wageni kutoka nchi nyingine wanakupigaje hivyo na wewe hujitetei? Umesikiliza maelezo? Inaonekana haya ni mambo ya kawaida yaani wanafanyiwa unyama mara kwa mara. Kwa upande wangu ni hivi: Nikipigwa namna hiyo siendi polisi ila najua nitakachofanya na hawatakaa warudie tena. NB: inferiority complex wanayo hayo waliopigwa na ndiyo wataka waiondoe. Pia elewa: cases zaa wachina kupiga watanzania zipo nyingi.Kwa hiyo wazawa wamepigwa na wachina na pia wa kulaumiwa ni wazawa? How is this different from self hate/ inferiority complex?
Duh!Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!
Wachina hawajaja afrika kucheka na kima
Kipindi udom inajengwa , wabongo walikua wanafanya michezo ya kuiba nondo na sementi , wachina ( wajasi wa lugha ya kipindi hicho) waliwatembezea vibano kama nguruwe pori , sisi niwaviboko tu bila hivyo mambo hayaendiKama mtu anatandikwa mbele za watu na kiongozi wa serikali sio tatizo. Why wachina wasishushe kipondo?
Ni mwendo wa kubondana tuu
Nisingetofautiana sana na wewe kuhusu ambacho ningefanya baada ya kupigwa; hasa kama ni kupigwa kwa kunyanyaswa tu, wakati nikiwa nimetimiza vizuri nilichotakiwa kufanya.Hujanisoma! Hoja yangu ni hii: wageni kutoka nchi nyingine wanakupigaje hivyo na wewe hujitetei? Umesikiliza maelezo? Inaonekana haya ni mambo ya kawaida yaani wanafanyiwa unyama mara kwa mara. Kwa upande wangu ni hivi: Nikipigwa namna hiyo siendi polisi ila najua nitakachofanya na hawatakaa warudie tena. NB: inferiority complex wanayo hayo waliopigwa na ndiyo wataka waiondoe. Pia elewa: cases zaa wachina kupiga watanzania zipo nyingi.
Kipindi udom inajengwa , wabongo walikua wanafanya michezo ya kuiba ndondo na sementi , wachina ( wajasi wa lugha ya kipindi hicho) waliwatembezea vibano kama nguruwe pori , sisi niwaviboko tu bila hivyo mambo hayaendi
Kila la heri ndugu baradhuli.Asante mkuu kwa hii lead na connection. Naanza kuifanyia kazi mara moja.
Kuna rafiki yangu mmoja mjapani anaitwa kunish ,huwa ananiambia nyie huwa mnajiibia wenyewe, na huwa hajui tunamkomoa nanMbongo akuibie alafu umfanyie unyambisi umsikie akilia kwenye kamera. Aiseeh dunia itakulaani sana😂😃😄. Yeye akikuibia na kukufanyia unyamera dunia kimya.
Ukimwambia arudishe alichoiba alishauza pesa kala zimeisha
Huenda ni rahisi ku'guess', kutokana na tamaduni zetu za ajabu ajabu sana; hasa katika nyakati hizi.Walifanya nini hao waliopigwa??